Jamani naomba mnisaie kwa hili, nilipewa kiwanja na ofisi ya ardhi baada ya mmiliki wa kwanza kunyang'anywa sasa baadae ofisi hiyo hiyo inataka kuninyang'anya kwa kisingizio kuwa haijawahi kumnyang'anya mmiliki wa kwanza. Wakati napewa notice za kufutwa umiliki wa kwanza baada ya kutokiendeleza kwa miaka nane niliziona lakini sasa hivi kwenye faili hazionekani. Waungwana naomba ushauri wenu