Hi

Hi

Hayati

Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
64
Reaction score
5
Hello wana JF.naomba mnipokea nakuja kwenu nipate kubadilshana mawazo kwa mambo mbalimbali yaliyomo ktk jamii.naamini mmenipokea kwa shangwe. Amani upendo mshikamano uzidi uzidi ndani ya JF
 
Kuna mtu amekushauri ubadili user,sijajua ana maana gani,rudi kwenye sridi ileee ya kijana aliyeshindwa kuruka UKUTA

ila KARIBU
 
hayati........... Duh, hili jina sio! Ila karibu jamvini utakua unatupatia updates za marehemu huko walipo!
 
Hayari, duh, Karibu sana, kutana na First Born wetu chagua kinywaji unachotaka invoice tuma kwa PDIDY atasawazisha.
 
Back
Top Bottom