Hi

unajiunga JF hata kazi hauna.

karib bana. ukiishiwa na hela ya cafe utatushtua.
 
kama huna pesa yakwenda internetcafe bora ufunge mlango urudi ulikotoka.....:but your welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome:
 
mmmmhhh jamani
mie na kazi kibao
njoo kipande hii unisaidie..:car:

karibi sana mkuu:smile-big:
 
Aaah muchumba naona umeshafika kipande hii hope all is well.

mmmhh jamani
lazima kukaribisha wageni jamani...

mie mzima kabisa yaani
hofu na mashaka ni we ulie mbali na upeo wa macho yangu hahahhha lol(miaka ile shule ya msingi zile barua lol)
 
mmmhh jamani
lazima kukaribisha wageni jamani...

mie mzima kabisa yaani
hofu na mashaka ni we ulie mbali na upeo wa macho yangu hahahhha lol(miaka ile shule ya msingi zile barua lol)
Sasa mbona umeishia katikati ...dhumuni la kuandika barua hii nakupenda sana mwenzio sili silali nakuwaza wewe,kabla sijasahau ukishasoma barua hii ichanechane na kuitafuna asiisome mtu mwingine,ukitoka shule nakusubiri chini ya mwembe usipokuja nitakaa mpaka asubuhi kuonesha navyokupenda,wasalaam Uporoto.
 
KWA UPOROTO UPOROTO
SHULE YA MSINGI MWEMBENI
PO.BOX 3579
MWEMBENI
TANGA
TANZANIA
EAST AFRICA
AFRICA

wewe ndo macho yangu, sioni bila wewe
wewe ndo miguu yangu , sitembei bila wewe
wewe ni akili yangu , siwazi bila wewe
wewe ndo mdomo wangu , sili bila wewe

hata mwalimu simsikii maana nakuwaza wewe tu.. umeingia na kukaa na kuujaza moyo wangu..
na dhani mimi na wewe ni kama pete na kidole...

P.c niliitafunaa ile barua yako na hakuna mtu alie iona..
naomba utafune hiii yangu au tumbukiza chooni..

ni mimi nikupendae kwa dhati
Afodenzi..
 
Hahaha! kumbe utundu ulianza zamani we binti ....nilidondosha chozi baharini,sitaacha kukupenda mpaka utakapolipata na kunirudishia mwenyewe.
 
Hahaha! kumbe utundu ulianza zamani we binti ....nilidondosha chozi baharini,sitaacha kukupenda mpaka utakapolipata na kunirudishia mwenyewe.

hahahahahh lol
usijali nitaogelea bahari zote saba
na hata maziwa yote mpkana nipate chozi lako...

sijui ntaishi vipi bila wewe....

haya mwalimu anakuja ....
nta malizia kuandika baadaye kwenye kipindi cha dini.
sababu yule sister ni mpole....

kwa sasa kalamu imeanza kuisha wino..
na kesho ntanunua daftari kubwa..
yote kwa ajili yako...

hahahah lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom