Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 747
- 1,816
Msaada wakuu, nakereka na hodi na mtu sina mpango kumfungulia. Sasa geti linapogongwa napata wakati mgumu kuacha au kufungua.
Wakati mwingine hodi hizo ni fursa wakati mwingine ni kero na kuzipotezea. Hicho ndicho kitu hasa nataka.
Screen ndogo, kengele kutoka getini kuja ndani kwangu.
Wadau fulani walitaka laki 5 kwangu kwa kengete tu na ka Screen!
Ushauri wadau.