Aaah muchumba naona umeshafika kipande hii hope all is well.mmmmhhh jamani
mie na kazi kibao
njoo kipande hii unisaidie..:car:
karibi sana mkuu:smile-big:
Good advice our spanish lady kudo's.Muuchos gratias.Karibu jobless. Jitahidi kushinda kuleee kwenye jukwaa la ajira.
Aaah muchumba naona umeshafika kipande hii hope all is well.
Sasa mbona umeishia katikati ...dhumuni la kuandika barua hii nakupenda sana mwenzio sili silali nakuwaza wewe,kabla sijasahau ukishasoma barua hii ichanechane na kuitafuna asiisome mtu mwingine,ukitoka shule nakusubiri chini ya mwembe usipokuja nitakaa mpaka asubuhi kuonesha navyokupenda,wasalaam Uporoto.mmmhh jamani
lazima kukaribisha wageni jamani...
mie mzima kabisa yaani
hofu na mashaka ni we ulie mbali na upeo wa macho yangu hahahhha lol(miaka ile shule ya msingi zile barua lol)
KWA UPOROTO UPOROTOSasa mbona umeishia katikati ...dhumuni la kuandika barua hii nakupenda sana mwenzio sili silali nakuwaza wewe,kabla sijasahau ukishasoma barua hii ichanechane na kuitafuna asiisome mtu mwingine,ukitoka shule nakusubiri chini ya mwembe usipokuja nitakaa mpaka asubuhi kuonesha navyokupenda,wasalaam Uporoto.
Hahaha! kumbe utundu ulianza zamani we binti ....nilidondosha chozi baharini,sitaacha kukupenda mpaka utakapolipata na kunirudishia mwenyewe.KWA UPOROTO UPOROTO
SHULE YA MSINGI MWEMBENI
PO.BOX 3579
MWEMBENI
TANGA
TANZANIA
EAST AFRICA
AFRICA
wewe ndo macho yangu, sioni bila wewe
wewe ndo miguu yangu , sitembei bila wewe
wewe ni akili yangu , siwazi bila wewe
wewe ndo mdomo wangu , sili bila wewe
hata mwalimu simsikii maana nakuwaza wewe tu.. umeingia na kukaa na kuujaza moyo wangu..
na dhani mimi na wewe ni kama pete na kidole...
P.c niliitafunaa ile barua yako na hakuna mtu alie iona..
naomba utafune hiii yangu au tumbukiza chooni..
ni mimi nikupendae kwa dhati
Afodenzi..
Hahaha! kumbe utundu ulianza zamani we binti ....nilidondosha chozi baharini,sitaacha kukupenda mpaka utakapolipata na kunirudishia mwenyewe.