Hi there! ... Better Late Than Never !!!

fardia

Member
Jan 16, 2012
41
6
Hello wandugu, Salaam. Naombeni mnisamehe kwa kuingia kimya kimya tangu 16/01/2012. Kwa kweli nakiri kuwa kwa muda huu mchache niliokuwa humu nimejifunza mengi sana kutoka kwenye jukwaa hili. Nawashukuru sana kwa kunipa Plan B katika kupambana na maisha kwani nilikuwa nimejikita zaidi katika kutafuta ajira ambayo mpaka leo sijafanikiwa. Baada ya kupata maujanja mengi kutoka humu jf, nimefanikiwa kupata mtaji na wiki ijao nitaanza biashara ya kuleta mashti kutoka India. Natumai mtanipokea na kuzidi kubadilishana mawazo namna ya kupambana na maisha. Naombeni mnipokee. Asanteni sana na Mungu azidi kuwabariki, Amina.
 
Weekend ipo poa kabisa. Nimeshinda ndani tu, sijatoka nje kabisa. Naperuzi mtandao.
 
Back
Top Bottom