youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Eti ni vema mwanaume ufikapo nyumbani kwako na mwanamke kukuagizia ukajipakulie chakula mwenyew kwenye sufuria hii ni aki jamaniii
Usikute jamaa anafika nyumbani saa saba usiku wakati mke na watoto wamelala kama ndivyo kajipakulie kama sivyo bibie ajirekebishe heshima kwa mme iwepo hata kama kifedha umemzidi
ni mkeo, au mchepuko?
ndugu inategemea huyo bibi umemkuta katika hali gani... vinginevyo muyaongee yaishe...ikishindikana mtafutie mwenzie....
Inategemea mkuu,hapo awali mlianzaje alikuwa anapakua au anakuagiza ukapakue,hali yake ya kiafya labda mgonjwa,ama anatikisa kiberiti . Awali ni awali hakuna awali mbovu.
Ni hayo tu.
Kuna dini haziruhusu nyumbandogo sijui ya kwako MkuuMtafutie nyumba ndogo ,utavipata unavyomis vyote kutoka kwa mkeo(problem solved)
Mtafutie nyumba ndogo ,utavipata unavyomis vyote kutoka kwa mkeo(problem solved)
Sio vyema labda mama watoto awe ananyonyesha, au mgonjwa hapo sawa kwa kumlaki yeye na hata wewe mwenyewe kujihudumia ila sio yeye amekaa kwenye luninga kisa kuna kipindi anakifuatilia akuambie ukajipakulie afadhali kwa kufuatilia kipindi akuombe kidogo inaleta maana unaweza muelewa na kumfanyia usmati siku moja(au mara moja moja) lakini isiwe kitabia tena