Sio vyema labda mama watoto awe ananyonyesha, au mgonjwa hapo sawa kwa kumlaki yeye na hata wewe mwenyewe kujihudumia ila sio yeye amekaa kwenye luninga kisa kuna kipindi anakifuatilia akuambie ukajipakulie afadhali kwa kufuatilia kipindi akuombe kidogo inaleta maana unaweza muelewa na kumfanyia usmati siku moja(au mara moja moja) lakini isiwe kitabia tena

ni mkeo, au mchepuko?
Makubwa!!! Kwani ukioa ndo hutumwi?? Hayo mambo madogo sana ku blame! Msaidie tu!

Kuna dini haziruhusu nyumbandogo sijui ya kwako Mkuu
mfano akakwambia babaa nisaidie ujipakulie namalizia kazi nje kuna ubaya hapo?lazima awe reasonable sana aise anitume nini kwa mfano?
Acha kukariri wewe!! Yaani akufanyie vyoote kujipakulia tu iwe inshu kuubwa!!! Labda angesema mkewe kamwambia ajipakulie afu yeye anasoma gazeti/ anaangalia tamthiliya hapo ningesema dharau ila hajasema hvyo!!Wale wale tu
mfano akakwambia babaa nisaidie ujipakulie namalizia kazi nje kuna ubaya hapo?