Hi tabia wanawake mmeitolea wapi

Ni kawaida mkuu,.

Tena ushukuru kwa hicho chakula kuwepo!!

Je ungeambiwa upike ungesemaje?
Ntaua nikishindwa nachukua chakula naweka mezani na yeye namtoa nje nafunga mlango halafu nakula nalala zangu!

Mi kwangu sili peke yangu, ngoma inawekwa kati tunagonga wote hata kama ameshiba anisindikize!
 
Inategemea mkuu,hapo awali mlianzaje alikuwa anapakua au anakuagiza ukapakue,hali yake ya kiafya labda mgonjwa,ama anatikisa kiberiti . Awali ni awali hakuna awali mbovu.
Ni hayo tu.

well said mkuu
 
Inategemea mlivyozoeshana. Mi wife alikuwa na kawaida ya kuniagiza 'ukirudi naomba pitia dukani ninunulie skons za mtoto anywee chai akienda shule, niletee ubuyu nna hamu nao na vikolokolo vya jinsi hiyo, mwanzoni nilimkubaria lkn akataka kufanya mazoea nikamuuliza hivi wewe huyu housegirl na wewe mnashindwa kwenda dukani kuandaa vitu vya mtoto mpaka mi na ndevu zangu kila siku nikaulize ubuyu? Akadai samahani kama unakwazika tutaenda wenyewe, nikamwambia sitaki kusikia tena huu upuuzi.

Kwa hiyo jinsi utakavyomzoesha ataendelea usichokitaka kikemee mapema sana.
 
Back
Top Bottom