Hi tabia wanawake mmeitolea wapi

youngashley

Senior Member
Apr 26, 2013
187
52
Eti ni vema mwanaume ufikapo nyumbani kwako na mwanamke kukuagizia ukajipakulie chakula mwenyew kwenye sufuria hii ni aki jamaniii
 
Inategemea mkuu,hapo awali mlianzaje alikuwa anapakua au anakuagiza ukapakue,hali yake ya kiafya labda mgonjwa,ama anatikisa kiberiti . Awali ni awali hakuna awali mbovu.
Ni hayo tu.
 
Sio vyema labda mama watoto awe ananyonyesha, au mgonjwa hapo sawa kwa kumlaki yeye na hata wewe mwenyewe kujihudumia ila sio yeye amekaa kwenye luninga kisa kuna kipindi anakifuatilia akuambie ukajipakulie afadhali kwa kufuatilia kipindi akuombe kidogo inaleta maana unaweza muelewa na kumfanyia usmati siku moja(au mara moja moja) lakini isiwe kitabia tena
 
ndugu inategemea huyo bibi umemkuta katika hali gani... vinginevyo muyaongee yaishe...ikishindikana mtafutie mwenzie....
 
Usikute jamaa anafika nyumbani saa saba usiku wakati mke na watoto wamelala kama ndivyo kajipakulie kama sivyo bibie ajirekebishe heshima kwa mme iwepo hata kama kifedha umemzidi

Unakuta umechelewa sana ni sa 06:00
 
ndugu inategemea huyo bibi umemkuta katika hali gani... vinginevyo muyaongee yaishe...ikishindikana mtafutie mwenzie....

Mi naona kama lipo nilokosa kwake awe mwazi tu michepuko si ishu na ukizingatia zaidi kuna gonjwa la dengue
 
Inategemea mkuu,hapo awali mlianzaje alikuwa anapakua au anakuagiza ukapakue,hali yake ya kiafya labda mgonjwa,ama anatikisa kiberiti . Awali ni awali hakuna awali mbovu.
Ni hayo tu.

Ni mzima kabisa
 
Ni mtizamo tu perception hakuna ubaya wowote take it easy. Usipende kuyakuza mambo madogomadogo utashindwa kuyashughulikia makubwa.
Sio vyema labda mama watoto awe ananyonyesha, au mgonjwa hapo sawa kwa kumlaki yeye na hata wewe mwenyewe kujihudumia ila sio yeye amekaa kwenye luninga kisa kuna kipindi anakifuatilia akuambie ukajipakulie afadhali kwa kufuatilia kipindi akuombe kidogo inaleta maana unaweza muelewa na kumfanyia usmati siku moja(au mara moja moja) lakini isiwe kitabia tena
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom