Hi mijamaa ina moyo kweli...!

Hi mijamaa ina moyo kweli...!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
punch1.jpg


Wadau wakipata kilaji
 
Mzee Mtambuzi umenikumbusha jamaa mmoja Chapombe huko.kwetu alifariki dunia miaka iliyopita, siku ya kumzika washikaji zake walinunua kreti.zima la bia na kumwaga kaburini eti JAMAA ANYWE KWA MARA YA.MWISHO....

Duniani kuna mambo!

Aione platozoom
 
Last edited by a moderator:
I Thes.4:13-18
“Lakini, ndugu hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo. (SW UV).
 
Yaani ulivyonibariki best kwa comment hii imenitouch mpaka nimeipenda ungekuwa karibu ningekupa high five good comment beibe
I Thes.4:13-18
"Lakini, ndugu hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo. (SW UV).
 
wangekuwa ni weusi ningewafananisha na wale watani zangu pale nanihii, yaani wao vikao vyote vya misiba haviwezi kufanya shurti wakapate pombe kwa bar ya nanihiii, wakimaliza wanashushia na thubu
 
punch1.jpg


Wadau wakipata kilaji

Ndg yangu Mtambuzi inawezekana pombe ndiyo ziliwatuma kufanya hicho kinachoonekana hapo juu!

Lakini hebu tujiulize swali la kipuuzi, kwenye misiba na mazishi huwa hatupigi wali na pilau? Tukashushia na maji ya kunywa ya uhai au kilimanjaro? Pale muhimbili, karibu na mortuary. kuna grocery, hivi huwa hutuwakuti watu pale wakinywa vinywaji kusubiria miili ya ndg au rafiki zao? Tabia hii haifanani kwa umbali na hii? Naona tofauti ni hawa wanapiga pombe na wako karibu kabisa na maiti, loooohhh!
 
Kwenye mazishi ya Clever yule alikuwa kamuoa mtoto wa MNEC????

Yap, sikuwepo wakati huo ila i know the guy na vitimbi vyake. Kumbe kulikuwa na vitimbi hivyo kwenye msiba.
Halafu nilishindwa kumuelewa kabisa yule jamaa, na oppotunities zoote akashindwa kutoka na kuwa smart, dah!

Looking back unaweza kukuta ni malezi pia.
 
Yap, sikuwepo wakati huo ila i know the guy na vitimbi vyake. Kumbe kulikuwa na vitimbi hivyo kwenye msiba.
Halafu nilishindwa kumuelewa kabisa yule jamaa, na oppotunities zoote akashindwa kutoka na kuwa smart, dah!

Looking back unaweza kukuta ni malezi pia.

HUenda masikini ni malezi yalichangia!
 
Back
Top Bottom