Hi mijamaa ina moyo kweli...!

Hi mijamaa ina moyo kweli...!

wangekuwa ni weusi ningewafananisha na wale watani zangu pale nanihii, yaani wao vikao vyote vya misiba haviwezi kufanya shurti wakapate pombe kwa bar ya nanihiii, wakimaliza wanashushia na thubu

..........Mipango ya kusafirisha mwili kwenda Moshi kwa Mazishi inafanyika katika "Baa" ya Kimara Resort
 
Moyo upo ila hata ww ukiwa huko lazima moyo uwe mgumu.


Sent from my BlackBerry 9300 uhttps://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=6792189sing JamiiForums
 
Kaka jambazi,
Tumaini hilo ni kwa wale WALIOLALA KTK YESU TUUUUUUUUUUHHHHHH!!!!!! Na Mapombe yako ni Kwenye Ziwa la Moto Moja kwa moja
 
Last edited by a moderator:
Pombe ndo imewafanya ivo kama siyo pombe wasinge weza kabisaa
 
Kwa kweli wamenikumbusha kule kwetu Kisumu, mtu akifa kitu cha kwanza ni pombe halafu suala la marehemu baadaye. Pombe ni muhimu hasa kunapokuwa na msiba
 
Back
Top Bottom