Hi mambo nipe number yako basi

we ni mwanamke kwaio unategemea nini ?ni lazima iwe hivo kwa sababu ya uanamke wako wewe unataka uombwe namba ili uwe unaamkiwa shikamoo mama?
Na ili aamkiwe shikamoo mama nilazima atongozwe kwanza bila mtongozo hiyo mama haipatikan kirahisi hivo
 

Aaaah

Hizo fursa, usiache bibie. Sorting ya zile hazipendezi na nzuri baadaye

Tengeneza business cards kabisa.
 
Me nikikaaga na bitchez kama nyie wa beyonce wanna be,huwa napiga kimya,nakula good music tu mwanzo mwisho
 
Namba tu mnabana hivyo; baadae mje mlalamike hamwolewi. Sasa mnataka tuwatongoze kwa barua au?
 
Sasa mi ntajuaje kuwa umeolewa kama sijakutongoza? Shauri yenu bhana mtaishia kuchezewa tu na kuzalishwa mkia kwa wazaz wenu
 
Ukiombwa namba jua watu wameshafika bei, Ukitoa namba jiandae kutoa kila cha kutolewa
 
loading error...................................
 
Hi Sky naomba namba yako jamani.
 
We mpe tu kama hajakuvutia akipiga unabadili sauti unajifanya humjui na wala hauko huko alipokutajia. So anahisi kakosea namba na mambo yanaisha.
 
Kuna vitu vingi vya kushirikishana kwenye maisha apart from kutongozana , tatizo wadada mmekariri kuwa tukiwaomba no za simu tunataka kuwatongoza tu .
Msijitetee bwana we, mara nyingi hiyo ndio huwa lengo lenu.
Ile ha kuchukua namba kwa malengo mengine huwa ni nadra sana na hutokea kwa mtu ambae ameshakufahamu vizuri.
 
Ujinga wadada wa bongo wanawaza ngono tuu. Mimi nikienda seminar au hata sehemu nyingine nikibadilishana namba na mtu, mbona tunashea mambo mengine mengi tuu? hili la kungonoka ni just by the way, inaweweza ikatokea na isitokee.
Alafu wee mdada, acha ushamba. wenzio wanafurahia so kama wewe hupendi usiwasemee wenzako
 
imepenya,yaaani uwe na gari lexus halafu umuombe namba uone atatoa hadi ile ya akiba hapana chezea hawa watu ni kuwaona hivyo tu walivyo.ni pasua kichwa,hawasemi wanachokimaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…