Hi mambo nipe number yako basi

Unaakili saana mtu wangu

Wengi ndo wanajua akiombwa namba kinachofata ni kutongozwa wakati sio kweli mwingine anataka kuwa marafiki tu na sio lingine

Mfano mzuri wa wenye mtazamo huwo ni mtoa mada

Kuna thread nilisoma humu wanalalamika why wanatoa no za simu alafu hatuwatongozi hahahaha ...... hawa watu ni shida
 
Kwa mtazamo wangu naona umeandika haraka haraka sana. Hebu rudi uone ulichoandika. Harafu unipe namba pm
 
Mahusiani lazima yawe na mwanzo. Hata walioolewa wameanza kwa njia tofauti na hiyo ikiwa mojawapo. Kwahiyo si mbaya kitoa namba maana wengine wanaweza kuwa na nia nzuri tu. Kama hutakuwa unampenda bado unayo nafasi ya kukataa mtongozo.
 
Hata mi naomba namba yako, pesa, i hv something special to tele u
 
Au tusimamie msimamo wetu tusiwaombe namba kabisa? Hivi kazi ya simu ni nini? Simu bila kupigiwa ni sawa na kopo la toilet za uswazi
 
Kwani hapa bila namba mtongozo unashindikanaje?
 
Halafu mkikosa Waume mnashinda kwa waganga....kwn kumpa mtu namba ya simu ndy kumpa mtu BUMUNDA?
 
Yule mdogo wako kamaliza chuo nina haraka kidogo.... Hebu naomba namba nitakufuta tuzungumze zaidi.
 
Kuna vitu vingi vya kushirikishana kwenye maisha apart from kutongozana , tatizo wadada mmekariri kuwa tukiwaomba no za simu tunataka kuwatongoza tu .
So kwamba tumekariri inategemea tulipokutana tulikua tuna discuss kitu gani kama tulikua tunadiscuss kitu ambacho kina maana utatoa number bila ata kuombwa lakini sio uanze tu kunisifia sifia alafu mwisho Wa siku uniombe number ñikupe NEVER
 
Unajuaje ka mtu akiomaa namba anataka mtongozo? Wadada mnapenda sana kutongozwa

Naomba namba yako.
Ndio atajifanya ataki kukutongoza lakini mwisho wa siku ni mtongozo
Wewe unaomba number za nini kama sio maswali hayo basis ni ya kazi na kwa maswala ya kazi ni watu mnaojuana
 
Kwani kipindi hamna sim walikua wanaomba nini
 
So kwamba tumekariri inategemea tulipokutana tulikua tuna discuss kitu gani kama tulikua tunadiscuss kitu ambacho kina maana utatoa number bila ata kuombwa lakini sio uanze tu kunisifia sifia alafu mwisho Wa siku uniombe number ñikupe NEVER
Wengine mmekaa sit moja kwenye daladala tena anasubiri konda ameshachukua nauli ndiyo anaanza kwani unaelekea wapi? Nipe number basi tuongee zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…