hi jf members am miss america...can i go in?

hi jf members am miss america...can i go in?

Duh!!...JF inavijimabo!! kila mtu anakuja kivyake anavyojisikia...very soon tutawaona ma-miss kutoka nchi mbalimbali hapa JF
if i will remove y from ur name fox(y)...i will understand what kind of person you ar
 
hahahaha....akili kumkichwa...huo ni ulimbo mkuu...WanaJF chukueni tahadhari
Mbona kama hiki kiinglishi ni cha seinti kayumba vile??? karibu tu mwaya mie mshambaa mwaya! ILA hatuna utamaduni wa kukaribishana kwa kufuata tamaduni au status zetu! Utoke libya, syria au kwa Obama yote sawa tuu what matters ni contribution yako
 
karibu 'miss america' utanogewa tu wee ngoja uone, nina uhakika tutakubamba tu kwenye mada unabonga kilugha,. . .
 
mpwapwa is.......is.......is.., subiri kidogo nitarudi. Sema sawa.

Aaaa mwalimu unaniaibisha mwanafunzi wako.....ngoja nikaangalie kwenye lile daftari nililoandika siku ile halafu nitakusaidia!
 
Mhh !! This is virtual world you can be whomever you want to be ....!!!! 🙂

Mhh your warmly welcomed..!!; Myself am a nobody just exist within JF Servers.., but will gladly be your acquaintance.
 
if i will remove y from ur name fox(y)...i will understand what kind of person you ar
ah haaa haaa ha...................umeanza malumbano mapema hivo,najua tu umeelewa nilichoandika hapa hebu acha sound.
u'r welcome
 
miss mpwapwa!heheh.where mpwapwa is?

Huijui Mpwawa wewe?
Iko dodoma.
Meanwhile, Ask your translator to register your ID as premium member so that you can get access to "JUKWAA LA WAKUBWA",
Is a sub-forum not to miss as well.
 
Aaaa mwalimu unaniaibisha mwanafunzi wako.....ngoja nikaangalie kwenye lile daftari nililoandika siku ile halafu nitakusaidia!

heee,student umeniabisha mwalimu wako kwa kuquote hiyo post.
 
huyu ni kokwenda wa kwetu bukoba alienda kusoma.sasa..anazuga nimem-pm sasa hivi.
 
Haya weeeeeeeee watu wa mesoma shule ya kingumbalu leo wamekua wazungu hamuwachi kujipaka mavi.....haya karibuni...mtasema japo kimnya kimnya.
 
Back
Top Bottom