Hi JF members, am back am miss america

Hi JF members, am back am miss america

Miss America

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
35
Reaction score
7
I was too busy that is why i was not arround.....i do miss you guys....do you misss me????/mwaaaah nakupenda
 
mmh..huyu mbongo mwenzetu tu...anajidai kiswahili hakipandi kumbe wapi!

heheheeeee, kumbe ndo maana ukavutikaaa eeh? Lugha ya malkia ni rahisi sana kwa kulainishia, maneno yoote ambayo hayatamkiki kwa kibongo huwekwa hapo. Ninth Worlds' wonder
 
Hebu toa tafsiri hiyo lugha ya malkia wengine haipandi kabisa tafadhali umesemaje vile????
 
hebu tupe basi maujanja ya kuitumia hiyo lugha ya malkia kulainishia...
 
Hebu toa tafsiri hiyo lugha ya malkia wengine haipandi kabisa tafadhali umesemaje vile????

Halafu nlikuona pale kwenye mstari wa kumsubiria mtoto wa Malkia, hee! kumbe lugha yenyewe haipandi?
 
Back
Top Bottom