Hi all

Hi all

mariah leos

Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
28
Reaction score
8
habarini za wakati huu,,nina furaha sana kuungana nanyi ndugu zangu katika JF,ni tumaini langu kuwa tutashirikiana kwa kila namna..
ahsanten.
 
habarini za wakati huu,,nina furaha sana kuungana nanyi ndugu zangu katika JF,ni tumaini langu kuwa tutashirikiana kwa kila namna..
ahsanten.

Karibu sana jisikie upo nyumbani ukitaka msaada usisite kuniPM nitakupa ushirikiano wa kutosha.
 
habarini za wakati huu,,nina furaha sana kuungana nanyi ndugu zangu katika jf,ni tumaini langu kuwa tutashirikiana kwa kila namna..
Ahsanten.

karibu sana bibie..bwana awe nawe siku zote utakapokuwa hapa jf natumai itakuelimisha vya kutosha
 
Back
Top Bottom