HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

Hapana au kwakua umeona neno business hizo ni science course kwa satu wa CBG na PCB
Asante saana mkuu kwa kunikatisha tamaaa.... Ila nmeenda jionea tcu guidebook ya mwaka jana ECA ana uwezo wa kusoma...
5c50929a3f97d0b6a6db47f4412b70dd.jpg
 
Lile Tulikuwa Tukilisubiri Kwa Hamu Wadau Limetimia Kwani Bodi Ya Mikopo Imeshafungua Dirisha La Kupokea Maombi ya Mkopo leo tarehe 28/06/2016.
Haya Wale wenye sifa Fursa Ndiyo hii.
 
Bodi ya mikopo wametaja engineering programs zoooote lkn wameshindwa kuweka aircraft maintenance engineering inayotolewa pale NIT mwenye uelewa na hili anisaidie je mtu atakayekuja kuomba hii course watamuweka ktk category ipi?
Umefuatilia ada ya hiyo program? Ada ni 10mil. HESLB wanatoa kati ya laki 9 na 1.5mil.
 
Only Division 1 & 2. Hujatoboa hapo hakuna kugusa University. Safi sana Magufuli.

Janga la kupokea wanafunzi wenye uwezo duni huku HEIs litapungua na nakiona kifo cha zile Universities zilizoibuka kama uyoga kikinyemelea.
Huo ni ubinafsi tu ndiyo unawasumbua...toeni uthibitisho kama kweli ukienda chuo ukiwa na 1&2 ndo utakuwa competent.
 
asante kaka kwa kumchana makav watu wakixhindw kufikia malengo bas wanatak na wenzao wasifikie....ila hiyo grants n n mkuu
Aisee na nyinyi wasomi wa siku hizi hadi huruma. Yaani unamaliza kidato cha sita neno grant hujakutana nalo! Hata hujui pa kulipata. Madhara ya tuition hayo. "Food Feeding".
 
Je nikisema niapply baada ya matokeo kwani si hamna shida kwa sababu matokeo si yanatoka hivi karibuni
 
Haya thats based on experience mkuu nikukatishe tamaa inisaidie nini subiri uapply kila laheri
Tunapoulza hapa tunaamin tunapata msaada ila mkuu ulinicheeka kabisa na kunidharau kuwa au kisa nmeona neno business ndo mana.... Misaada yenu ya kimawazo ya dhat ndo itatupigisha hatua..!!
 
BODI YA MIKOPO IMEANZA KUPOKEA MAOMBI KWA FORM 6 NA WENGINEO.

Ushauri wangu: *SOMA KWA UMAKINI GUIDELINES BEFORE APPLYING*
 
Kuna tatizo kwenye length of transaction ID ambayo unapewa na VODACOM baada ya kulipa shilingi elfu 30 kwa MPESA.
Kwa sasa wanatoa ID's zenye tarakimu na namba KUMI (ten figures) mfano 3FQ43PS8R8 wakati wao bodi ya mikopo wanataka ID's zenye figures/characters TISA tu (kama zile za zamani) mfano BC15YC443.
Kwaiyo ukiingiza transaction ID wanakuambia umekosea kwa sababu imezidi NAFASI TISA (exceeded 9 characters). Hilo ndilo nimeliona mimi, na wengine tunaweza tukashea mengine hapa. Hivi nafanya mpango niwapigie.

Nimtakie kila muombaji kila la heri.
 
Mkuu washakupa maelezo juu ya ku solve hilo tatizo mkuu. ahsanteh
 
Kuna tatizo kwenye length of transaction ID ambayo unapewa na VODACOM baada ya kulipa shilingi elfu 30 kwa MPESA.
Kwa sasa wanatoa ID's zenye tarakimu na namba KUMI (ten figures) mfano 3FQ43PS8R8 wakati wao bodi ya mikopo wanataka ID's zenye figures/characters TISA tu (kama zile za zamani) mfano BC15YC443.
Kwaiyo ukiingiza transaction ID wanakuambia umekosea kwa sababu imezidi NAFASI TISA (exceeded 9 characters). Hilo ndilo nimeliona mimi, na wengine tunaweza tukashea mengine hapa. Hivi nafanya mpango niwapigie.

Nimtakie kila muombaji kila la heri.
Mbona baada ya kuwapigia huja tuletea mrejesho kama tatizo limetatuka au bado?
 
Kuna tatizo kwenye length of transaction ID ambayo unapewa na VODACOM baada ya kulipa shilingi elfu 30 kwa MPESA.
Kwa sasa wanatoa ID's zenye tarakimu na namba KUMI (ten figures) mfano 3FQ43PS8R8 wakati wao bodi ya mikopo wanataka ID's zenye figures/characters TISA tu (kama zile za zamani) mfano BC15YC443.
Kwaiyo ukiingiza transaction ID wanakuambia umekosea kwa sababu imezidi NAFASI TISA (exceeded 9 characters). Hilo ndilo nimeliona mimi, na wengine tunaweza tukashea mengine hapa. Hivi nafanya mpango niwapigie.

Nimtakie kila muombaji kila la heri.
Tsh 500000/=
 
Tunapoulza hapa tunaamin tunapata msaada ila mkuu ulinicheeka kabisa na kunidharau kuwa au kisa nmeona neno business ndo mana.... Misaada yenu ya kimawazo ya dhat ndo itatupigisha hatua..!!
Nilicheka sababu labda nikwambie tu kwa ufupi SUA hua wanachuka CBG na PCB hata ukichaguliwa pale ECA na TCU chuo hua kina Senate yake inayokaa upya kuchambua udahili wa TCU hua wanatoa majina yote hayo na kuyarudisha TCU wapangiwe pengine. All the best!
 
Back
Top Bottom