2in1
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 211
- 79
Wakuu habari zenu,
wakati tunasign boom chuoni NIT baadhi ya wanafunzi tumeambiwa pesa zetu hazijafika zote(720000). Wametuambia kuwa tusubiri hayo majina yapelekwe tena HESLB halafu watatuongezea hizo pesa zilizopungua.
Je wanajamvi tunaweza kuongezewa hizo fedha au ndio ishakula kwetu?