HESLB watatuongezea pesa zetu au ndio imekula kwetu!!!

2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
213
225
Wakuu habari zenu,
wakati tunasign boom chuoni NIT baadhi ya wanafunzi tumeambiwa pesa zetu hazijafika zote(720000). Wametuambia kuwa tusubiri hayo majina yapelekwe tena HESLB halafu watatuongezea hizo pesa zilizopungua.

Je wanajamvi tunaweza kuongezewa hizo fedha au ndio ishakula kwetu?
 

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,828
2,000
Hivi nyie SUA hilo boom ni la kuanzia lini mpaka lini? Maana tangu mfungue karibuni nusu ya semister inaisha! Au hata boom la pili watawacheleweshea pia?
 
Top Bottom