HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

mkuu naomba msaada S2685.0069.2010
attachment.php
not secured ila kuwa mvumilivu hiyo ni 1st lot tu
 
Attachments

  • untitlednngg.JPG
    untitlednngg.JPG
    74.7 KB · Views: 913
Jaman Hiv haya majina ya mkopo ni kwa wote Mpaka fourth round wa juzi kati au vp msaada
 
S0122.0018.1987 COLMAN KASTABU TESHA pls nisaidie kuangalia mkuu
 
Ndo maana watu wanawaita "wa tt wa brn" maana hamfikilii yan kila kitu jf mt ukisoma vzur tangazo la heslb unakuta kuna sehem 1 imeandikwa kwa herufi kubwa na rangi nyekundi "FIRST LOT" hili neno ukilejea kwenye guideline ya heslb 2015 linamaanisha kwa kozy zile za first lot mfano educ, MD, water and irrigation na baazi sasa watu wa eng msiwe na hofu nyie ni 2 lots; ni hayo 2
 
Mbona mimi naingiza hizo secured kodi zilizopo chini yake baada ya index namba niki log in inaandika hivi secured kodi hasi machi
Sasa sielewe, au tunafanyaje

hata mimi zimekubali mbili tu. Zingine zote zinagoma.
Wataalam tusaidieni.
 
Ndo maana watu wanawaita "wa tt wa brn" maana hamfikilii yan kila kitu jf mt ukisoma vzur tangazo la heslb unakuta kuna sehem 1 imeandikwa kwa herufi kubwa na rangi nyekundi "FIRST LOT" hili neno ukilejea kwenye guideline ya heslb 2015 linamaanisha kwa kozy zile za first lot mfano educ, MD, water and irrigation na baazi sasa watu wa eng msiwe na hofu nyie ni 2 lots; ni hayo 2

:thumbup::thumbup:
 
kuna COET nimecheck amepata mkopo tayari, petroleum eng
 
hata mimi zimekubali mbili tu. Zingine zote zinagoma.
Wataalam tusaidieni.

kuna alama ya / mwishoni mwa hizo code, usiiweke hyo, kwa urahis zaid we idrag ile code ndan ya kile kibox itakuja pamoja na link ndefu ya olas kabla ya code yenyewe hyo link iondoe ibaki code tu na ile alama ya / mbele ya code iondoe
 
kuna COET nimecheck amepata mkopo tayari, petroleum eng

Petroleum alikuwa first lots kwenye guideline book pamoja na irrigation and water eng
Afu vile.2 co eng zote zipo 2 lots kuna nyngne zipo 3 lots
 
kuna alama ya / mwishoni mwa hizo code, usiiweke hyo, kwa urahis zaid we idrag ile code ndan ya kile kibox itakuja pamoja na link ndefu ya olas kabla ya code yenyewe hyo link iondoe ibaki code tu na ile alama ya / mbele ya code iondoe

S0473.0113.2012 niangalizie hiyo best
 
kuna alama ya / mwishoni mwa hizo code, usiiweke hyo, kwa urahis zaid we idrag ile code ndan ya kile kibox itakuja pamoja na link ndefu ya olas kabla ya code yenyewe hyo link iondoe ibaki code tu na ile alama ya / mbele ya code iondoe

Kila nikiweka index na codes nikilogin inaniletea error sijui kwa nn
 
Wadau jaman mi kila nkijaribu kuingia olas haifunguki naombeni msaada index no ang ni S0387/0059/2010
 
Back
Top Bottom