HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

Samahani wajumbe,kwani wametoa majina ama ukiangalia kwenye profile yako ndio unajua km umepata ama unekosa? Naombeni jibu kwa anaejua
 
Kwenye profile yako

Asante sasa me sielewi maana zamani sikuwa na option ya kuedit kwenye profile lkn Leo ipo n wananiambia registration incomplete hapo wanamaanisha nini mkuu kama unaelewa kuhusu hilo
 
Wakuu naombeni mnifundishe unafanyafanya vp maana naona index no hii nnayo password ni ipi na vp nalog in msaada wakuu
 
Asante sasa me sielewi maana zamani sikuwa na option ya kuedit kwenye profile lkn Leo ipo n wananiambia registration incomplete hapo wanamaanisha nini mkuu kama unaelewa kuhusu hilo

Jaribu ku login na password yako.alafu ingiza hayo maneno hapo chini yaliyoandikwa.ila hiyo incomplete cjui nn labda ni tatzo tu la kwao
 
Jaribu ku login na password yako.alafu ingiza hayo maneno hapo chini yaliyoandikwa.ila hiyo incomplete cjui nn labda ni tatzo tu la kwao

Ok ngoja nijaribu hivo maana nilikua naongilia sehemu ambayo hainipi opt ya kuandika password
 
nisaidie s1585.0107.2012
attachment.php

not secured kwenye hyo 1st lot subiri batch ingine
 

Attachments

  • t.JPG
    t.JPG
    75.2 KB · Views: 431
Mm kijana mwenzenu, naanza kusoma pale Open Uni.
Wakati nipo kidato cha sita niliapa sitakuja kusoma kwa mkopo.
Nashukuru nakiribia ada mwenyewe, najenga, naming us biashara. Maisha yanaenda. So sad mnapata tumbo joto. One day yes
 
Mm kijana mwenzenu, naanza kusoma pale Open Uni.
Wakati nipo kidato cha sita niliapa sitakuja kusoma kwa mkopo.
Nashukuru nakiribia ada mwenyewe, najenga, naming us biashara. Maisha yanaenda. So sad mnapata tumbo joto. One day yes[/

ni njia uliyoamua wewe kupitia,kila mtu ana njia zake
 
Back
Top Bottom