HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

attachment.php
not secured ila kuwa mvumilivu hiyo ni 1st lot tu

Mkuu S0958.0111.2012 tafadhal nichekie
 
sasa kwanini mtu hayupo first lots lakn wanaandka incomplete form
 
jaman eeeh mkopo umetoka kwa wale wa medicine tu wakata nyasi wa education tuendelee kusubir HAPA KAZI TUUU
 
jamani ili kuangalia unaingia kwenye application status????
mmi nmeingia kwenye application status nmekuta neno
you have completed application

then chini yake kuna neno final edit
sasa wakuu wenye uzoef na hii kitu kwa hali ya profile yang it means what??
 
Back
Top Bottom