HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

watoto naona wana hamu ya kwenda shule,neendeni mkasoma mje mtusaidie kuitoa CCM
 
DU!? Toka asubuhi najaribu kuingia kwenye account yangu ya heslb lakini haikubali.Sijui kama nimepata mkopo au la!? Hakika haya ni mateso bila chuki.
 
Sasa hiv ukiingia OLAS unakutana na:
"FIRST YEAR LOAN ALLOCATIONS FOR ACADEMIC YEAR 2012/13"

Hawa IT wa bodi wana tatizo gan?
 
huu ni usengery sasa toka juzi nashindwa kuingia huko kucheki kama wamenipa au laa
 
Sasa hiv ukiingia OLAS unakutana na:
"FIRST YEAR LOAN ALLOCATIONS FOR ACADEMIC YEAR 2012/13"

Hawa IT wa bodi wana tatizo gan?

Kwakweli na mimi wamenichanganya saaaaaaaaaaaaana,mhhhhhhhhhhhhhhhhhh mwaka huu kwakweli hawa vijana wamepata shida,Kuanzia TCU ,NACTE na HESLB majanga matupu
 
jamani ili kuangalia unaingia kwenye application status????
mmi nmeingia kwenye application status nmekuta neno
you have completed application

then chini yake kuna neno final edit
sasa wakuu wenye uzoef na hii kitu kwa hali ya profile yang it means what??

Ww umekosa
 
Back
Top Bottom