dkashombo2013
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 538
- 119
Hii ya dogo bado inaonyesha km zamani yaani "your application is ready for submission" inakuwaje hy
Hata yangu ipo hivyo
Amechaguliwa chuo gani
Wameandka ''you have not secured loan''
jina lako la mwisho na kawanga.
kak nichekie namim plz S3678.0119.2012JAMAA WAMERUDI ONLINE
ingia kwenye profile yako now
THANKS GOD NIMEPATA MKOPO
Wameandka ''you have not secured loan''
jina lako la mwisho na kawanga.
Nimejaribu kuulizia kwa wale tuliokosa wamesema bado banch zingine zitafuata tuwe wavumilivu
mkuu naomba msaadaS0125.0167.2007
Nimejaribu kuulizia kwa wale tuliokosa wamesema bado banch zingine zitafuata tuwe wavumilivu