HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

Kweli humu kuna wadogo wapumbavu nimeamini ndo maana watu wanadharau BRN eti mtu unatoa namba tu ya mtihani tu alafu mtu anakuangalizia yaani alafu unamwamini

Anakutazamiaje bila password???
Alafu watu wanawaambia mtandao unasumbua link haifungui duuh,


Elimu elimu elimu

Mkuu!
Ukifanikiwa kufungua OLAS itakuambia uingize numb ya form4 pamoja na ku-rewrite maneno ya siri utakayopewa.password hazihitajiki kk.
 
JAMAA WAMERUDI ONLINE
ingia kwenye profile yako now
THANKS GOD NIMEPATA MKOPO
 
me nimecheki kabsa
am not joking guys
now nacheki inafunguka ingawa muda kidogo inazngua tena
keep trying
all the best
 
Wameandka ''you have not secured loan''
jina lako la mwisho na kawanga.
 
"You have not secured loan"
Maana yake nini wadau?
 
Back
Top Bottom