HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

Kwa matawi yote ya udsm majina ya waliopata mkopo yapo ktk chuo huska hivyo fika chuoni kwako ujue na kuhusu Olas ni kwel lkn walifungua kidogo tu na kuifunga wanazidi kufanya marekekebisho KUWA MPOLE
 
Hiv hao wanaoweka namba zao bila password huyo mtu anawachekia vp? Naomba kufahamishwa
 
Pls naomba unieleweshe vizur maana kuna alyeniambia sipo

Kweli humu kuna wadogo wapumbavu nimeamini ndo maana watu wanadharau BRN eti mtu unatoa namba tu ya mtihani tu alafu mtu anakuangalizia yaani alafu unamwamini

Anakutazamiaje bila password???
Alafu watu wanawaambia mtandao unasumbua link haifungui duuh,


Elimu elimu elimu
 
Back
Top Bottom