HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

hv heslb inajiendexha yenyewe au ndo tegemezi.??inaitegemea thirikali..kwmba ikiyumba nayo inayumbaa??
 
akili ndogo inaongoza akili kubwa komaeni na kikoozi wenu
 
Plz nsaidie S0912.0063.2012 nichecke man

Mnadanganywa bure, link ya OLAS haifunguk kwa sasa. Hao wnaojifanya kuwasaidia kwa kuwaambia asilimia za mkopo uliopata ni waongo. Sasa hiv bodi haitoi kwa asilimia, inatoa tu kwa fungu zima. Kwa mfano unaweza ukapewa milion tatu (3000,000); nk.

Ukipewa hiyo pesa ndo utapiga hesabu na kujua kuwa tution fee ni kias gan, meals & accomodation ni kias gan, books & stationaries ni kias gan nk.
 
Kweli inawezekana huyu kikoozi anatuzingua na % zake
 
Back
Top Bottom