HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

Asee jana ulichelewa bana, nilikwambia unitumie index fasta ilikuwa inafungua vizuri. lets wait an see broo

Mkuu washaweka % au ndio bado maandalizi maana hakuna anayeleta mrejesho humu!!?
 
Hiv hawa jamaa lini watajirekebisha? Ikifika hatua kama page yao lazima isumbue! Kwa nini wasiset kwanza mitambo yao kabla ya kuachia majina? Mi bana bora uninyime kuliko kunionjesha!
 
Mbona mimi nikiingia http://webcache.googleusercontent.c...ndex.php/allocation/allocations/fresher_login haifunguki... nashindwa kuingiza


[TD="align: left"]Retype text as appearing BELOW *:
(Andika maandishi kama yalivyo hapa CHINI)[/TD]


attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • Picture1111111.png
    Picture1111111.png
    35 KB · Views: 1,052
Back
Top Bottom