HESLB mnataka tufe kwa pressure?

Kamkopo kalivyokuwa katamu chuoni, siamini kama kangekuja kuwa kachungu hivi
Ahaaaahaaaa

Wakati nimetua University, mchuchu alinambia kausha usichukue mkopo nitakupa mamishiko ya kutosha (fee + basic needs) aaagh nilimind kinoma wenzangu wanajaza paper za kuomba na nina vigezo ila mbebez ananikata stimu....anyway nikakausha coz alikuwa ana mapesa sana kipindi hicho nikasema acha nipotezee!

Sasa niko kwenye ajira ( serikalini) marafiki zangu wanakatwa mpaka mtu ana depression

Huwa namshukuru Mungu asee kwa kuniepushia na hii dhahama
 
Yaani haumshukuru Mchuchu bali unamshukuru Mungu pekee!!? Women I cant you
 
Ahaaaahaaaa

Wakati nimetua University, mchuchu alinambia kausha usichukue mkopo nitakupa mamishiko ya kutosha (fee + basic needs) aaagh nilimind kinoma wenzangu wanajaza paper za kuomba na nina vigezo ila mbebez ananikata stimu....anyway nikakausha coz alikuwa ana mapesa sana kipindi hicho nikasema acha nipotezee!

Sasa niko kwenye ajira ( serikalini) marafiki zangu wanakatwa mpaka mtu ana depression

Huwa namshukuru Mungu asee kwa kuniepushia na hii dhahama
Mlifunga ndoa baada ya wewe kumaliza chuo?
 
Ila pesa ya boom ni tamu, siku nimeenda kusign laki tano ya mwisho nilisikitika sana. Ile kadi ya benki sijui hata niliiweka wapi
 
Ahaaaahaaaa

Wakati nimetua University, mchuchu alinambia kausha usichukue mkopo nitakupa mamishiko ya kutosha (fee + basic needs) aaagh nilimind kinoma wenzangu wanajaza paper za kuomba na nina vigezo ila mbebez ananikata stimu....anyway nikakausha coz alikuwa ana mapesa sana kipindi hicho nikasema acha nipotezee!

Sasa niko kwenye ajira ( serikalini) marafiki zangu wanakatwa mpaka mtu ana depression

Huwa namshukuru Mungu asee kwa kuniepushia na hii dhahama
Your welcome.

Kwa niaba ya bro.
 
Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa.

Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB.

Nimemaliza deni langu na huu ni mwaka wa pili sasa. Naomba kujua Bodi ya mikopo hili deni wamelitoa wapi wakati katika salary slip zangu zinaonyesha ushahidi wa kukatwa pesa kuanzia mara ya kwanza mpaka nalimaliza miaka miwili imepita sasa.

Hivi kwa mshahara kweli ( take home) nitaweza kuendesha Maisha au ndio utakuwa mwanzo wa depression na hata kupoteza Maisha? SERIKALI NAOMBA MULIANGALIE HILI NAJUA SIO KWANGU HATA KWA WENGINE WAMEKUTANA NALO. SISI NI WANYONGE .

View attachment 1766800
Nafikiri Bora watu wakope Bank tu kwa Kweli.
 
Ahaaaahaaaa

Wakati nimetua University, mchuchu alinambia kausha usichukue mkopo nitakupa mamishiko ya kutosha (fee + basic needs) aaagh nilimind kinoma wenzangu wanajaza paper za kuomba na nina vigezo ila mbebez ananikata stimu....anyway nikakausha coz alikuwa ana mapesa sana kipindi hicho nikasema acha nipotezee!

Sasa niko kwenye ajira ( serikalini) marafiki zangu wanakatwa mpaka mtu ana depression

Huwa namshukuru Mungu asee kwa kuniepushia na hii dhahama
Unamshukuru Mungu au unamshukuru mshkaji?
 
Hii Tanzania hii,

Kila nikiangalia pale bungeni huwa naona mataka taka tu.

Kuna majitu pale yanajua kuvaa tai lakini hayajui hata Yapo kwa ajili gani na ya Nani, Sheria nyingi za hovyo hovyo huwa zinapitishwa kwa Kama hii. Kama Kuna mzigo unalifukarisha taifa Hili ni Hilo zimwi la kuitwa bunge.
Unaweza taman hata mtu ajitokeze atupie bom pale asipone mtu
 
wazamini wa clouds 360, ndo utacheka sijui wanamshindani gani wa mikopo
Una maana ya wadhamini? Sijaelewa! Kama wanadhamini kipindi chochote itakuwa ni njia ya kupiga fedha hiyo. Ohoo nchi ina magumashi mengi hii!
 
Ngum kumeza hii ila ndio ukwel huu
Hapa watajidai yaliyopita yamepita sirudii matapishi Ila deep inside their four chambers heart hawawezi kumnyima mtu aliyewagharamia for Three/four consecutive solid years kuanzia ada, mavazi chakula hadi pedi.
Damn marriage, ndoa zina changamoto sana. Nitaleta hapa true story
 
Back
Top Bottom