Heslb Mjiandae,VYUO VIKUU ARUSHA WANAJIANDAA KUFANYA MGOMO MKUBWA WA PAMOJA HIVI KARIBUNI.

kinganola

Senior Member
Aug 16, 2011
117
30
Kutokana na kitendo cha ubabaishaji wa kuwapatia pesa toka bodi(heslb) wanafunzi wa mwaka wa pili na continuing wengine Arusha,Wameazimia kufanya mgomo wa Pamoja ambao utaifikishia ujumbe serikali,katika mgomo huo,eneo la kukutana litabainishwa hapo baadae baada ya mipango kukamilika.HALI NI NGUMU,KUISHI CHUO MWEZI MZIMA SASA BILA PESA NI UKIUKAJI WA HAKI ZA BINADAMU.
 
Naona sis tuliokosa kabisa, mmeshatusahau kabisa. Natawatakia maandamano ya boom lenu. Ni mimi pangu pakavu...!
 
Ndo tatzo la kusoma vyuo ambavyo watoto wengi ni wa mafisadi,udsm weng we2 ni watoto wa walala hoi so bum likichelewa kdogo tunaingia road.
 
Ndo tatzo la kusoma vyuo ambavyo watoto wengi ni wa mafisadi,udsm weng we2 ni watoto wa walala hoi so bum likichelewa kdogo tunaingia road.

maliza chuo uje kitaa, halafu huku kazi hakuna sijui utaingia road kuandamana kuhusu kazi au we boom tu?
 
Ndo tatzo la kusoma vyuo ambavyo watoto wengi ni wa mafisadi,udsm weng we2 ni watoto wa walala hoi so bum likichelewa kdogo tunaingia road.
Mtotot wa fisadi ni yupi? Na utamtambuaje kuwa ni mtoto wa fisadi?
 
Hongereni vijana kwa kutaka kuitikisa Serikali kupitia bodi ya mikopo, ni wazo zuri but mjitahiudi muwe na ushirikiaono wa kutosha,
Niwashauri tu ya kwamba msihofie maneno ya Dk Kawambwa wakati anagongela msumari wa mwisho kwenye majeneza ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu jana usiku ITV
 
Back
Top Bottom