HESLB loan allocation 2020/21: ZIMESHAANZA TEMBELEA ACCOUNT YAKO CHAP

Tayari mfano huo hapo chini wa aliepata mkopo

login and refresh page

Screenshot (106).png
 
Akuna Cha MD, course ya afya wala mwalimu wote wamekula zero
 

Attachments

  • BATCH 1.pdf
    3.6 MB · Views: 30
Inaonekana sio kipaumbele Chao kwa mwaka huu,Mana graduates wengi wa ualimu na Hizo fani za afya wapo mtaani hawana ajira na wanadaiwa fedha nyingi sana
Kama sio kipaumbele Chao, kipaumbele Chao ni kipi maan hakuna course iliyopewa mkopo
 
Back
Top Bottom