SOKON 1
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,134
- 331
Toka TCU watoe majina nakusikia wanafunzi wakilalama ikanibidi nifanye utafiti kuna wanafunzi wengi wenye div 3 ambao kwa miaka ya nyuma ila wapate mkopo inabidi wachague UALIMU AMA KWENDA KUSOMEA SAYANSI ila sera ya mwaka huu ni kinyume kabisa kwani wenye haki ya kupata mkopo wamekosa ila wasio na vigezo vya kupata mkopo wamepata wengi wao hao wamechaguliwa vyuo vya private sababu kwa point izo ni vigumu kupata UDSM,MZUMBE, UDOM, nk swali kwa HESLB ushaidi tunao ukitaka tunaweka majina ya hao wanafunzi na point zao waliopata form 6 na vyuo walivyochaguliwa je kwa staili hii tunakuza Elimu ama tunadumisha vilaza Tanzania?
My Take:
Kwa wanafunzi wenye div 2 na 1 daini haki yenu tena ikibidi nendeni na hao waliopewa mikopo fika wakitambua hawana vigezo kwani natumaini mnawajua.
My Take:
Kwa wanafunzi wenye div 2 na 1 daini haki yenu tena ikibidi nendeni na hao waliopewa mikopo fika wakitambua hawana vigezo kwani natumaini mnawajua.