HESLB: Batch One Out Now

Maneno haya yanatia huruma na simanzi, Mungu akupe wepesi katika mapito yako, nikuombe uone namna ya kufanya nao mawasiliano unaweza kufanikiwa ndugu@
 
Amin mkuu tushukuru kwa kila jambo
 
Hapana, ila watakufanyia allocation baada ya matokeo ya supp kutoka na kupelekwa Heslb
smtm wanapunguza, mm imewahi nikumba hii 2020. nilishindwa kuchomoa kizimba cha ECONOMETRICS waliondolea special faculty na hela ya research kabisa. pia baada ya likizo ya corona mzee alifyeka boom . tukarudi mtaa njaa kalii
 
Duh ina maana Gpa pia ita affect,caryy over plus muda wa kupata hela so sad
 
View attachment 2787888
Kuna dogo hapa ada 230K alopewa, hapa naona ndugu tutashikana mashati, kuitafuta Milion 2, bodi watu wa hovyo sana.
Mwaka jana ilikuwa hivyo hivyo baadae wakapewa nyongeza wakajaziwa ila kwa mwaka huu sidhani.Inabidi mushikane mashati mapema bila hivyo wakati wa mtihani wa semester ya kwaza mwezi wa 2 mwakani asipolipa busy ya ada hafanyi UE.
 
Tuombe kheri iwe hivyo km mwaka Jana🙏🙏🙏
 
Wengine hii ndo chance ya mwisho kuomba mkopo bodi ya mkopo kwetu sisi tuliomaliza mwaka 2019 kidato cha sita.Kwa kweli mambo yanaumiza sana
Wew 2019 mm 2017 si ndio tyr kbs ht kwenye vigezo vya diploma kuomba mkopo mwaka huu yn sina tyr
 
Sera znayumba ,ajira nazo shida ,kusoma nako kwa shida bodi ihurumie Taifa la kesho
Wafanyakazi wa bodi Nina uhakika wanabana zngine wanaztia mfukoni mwao , ht km ni wew mkuu ungekuwako kitengo kile yan tamaa hz ni mby sn
 
Maisha ya sasa connection tu ndugu sie tusio na ndugu sekta nyeti hatuna mtetez zaid ya Mungu tu na huruma yke juu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…