Ukiona akaunt yako unalog in aibadiliki kukuletea kipengele Cha sipa na wewe ni mwaka wa kwanza wait for batch 2 tarehe 27 ya kwanza aikuwa bahati yako usife moyo
Sister wangu miaka hyo alipewa 100℅ ya mkopo na tuna vigezo sawa kadogo jinsia, sasa nasubiria nione wataniallocatia kiac gn na mm ili nithibitshe km kweli ni watenda haki ama lah