Ifanyie resize angalau iwe 200kb kushuka chini inakubali fresh.Wakuu nisaidien kwa hili
najaribu kuappeal hp kuomba niongezew mkopo, Ila tatzo ni kila nikiupload picha yng ambayo niliiscan kwa app ya camscanner hpo awali then nikaiconvert online kuwa jpg kila nikiupload inakataa .
.je shida iko wapi
Shukraan mkuu
Shukraan mkuu
Kwenye application status imesomajeWanangu wa continous mzigo ushasoma right nowView attachment 2810884
Congratulations your have been allocatedKwenye application status imesomaje
Kabla ya hapo walikuandikiaje?Congratulations your have been allocated
Hongera....wengne tumekosa tenaCongratulations your have been allocated
Kabla ya kupata mkopo walimwandikia uappeal?Bado wanaweka sio wote kwa ujumla
Hivi kama umeenda allocation kuangalia je umepata au lah! Wamekuandikia index no yako not found je ni shida ya mtandao au ni nini?Appeal window....sijui hio message
Sema mpaka umalize kuappel ndo utaona kama wamekupangia
Ni mtandao tu mkuu. Bado wanaendelea kuweka allocation kwahiyo kuwa na subira tu.Hivi kama umeenda allocation kuangalia je umepata au lah! Wamekuandikia index no yako not found je ni shida ya mtandao au ni nini?
Asante mkuuNi mtandao tu mkuu. Bado wanaendelea kuweka allocation kwahiyo kuwa na subira tu.
Nilikutana na tatizo kama hili kwa mdogo wangu nikareset password nikakuta amepata mkopo... badilisha hiyo password alaf uingie unaweza kukutana na bahati kama mdogo wanguHivi kama umeenda allocation kuangalia je umepata au lah! Wamekuandikia index no yako not found je ni shida ya mtandao au ni nini?
Mkuu ulikua umeshaappeal?Wanangu wa continous mzigo ushasoma right nowView attachment 2810884
Yeah niliappealMkuu ulikua umeshaappeal?
Hata yangu haifunguki mkuukuna mtu sipa yake inafunguka?
mm inadai error nataka nifanye appeal now