Wanasema ukishakamilisha usajili afisa mikopo kutoka HESLB ni jukumu lake ku submit haraka majina ya wanachuo waliojisajili kwa ajili ya kuingiziwa fedha kwenye akaunti.Wajuzi wanasema ni kila baada ya siku 60 yaani miezi miwili , ndo maana unapewa laki 6 yani elfu 10 kwa kila siku kwa siku 60
Kuna ongezeko la Tsh 1500/= kwa mwaka wa masomo 2023/2024 maana zamani ilikua ni Tsh 8500/= kwa siku
Mimi nilikua tu nahitaji kufahamu je boom hutolewa baada ya muda gani baada ya kujisajili chuoni?
Baada ya siku 60 ndo unasaini mzigo mwingine wa 600,000.Hzo awamu ni kila mwez au ni vp yn
Huyu wakati wa kulipa atalia na kusaga meno 😁😁Watu wengine wamejipata
View attachment 2788266
Swsw mkuuBaada ya siku 60 ndo unasaini mzigo mwingine wa 600,000.
Madeni yetu ya mbeleni Haya tunayapambania kwa sasa[emoji3]Watu wengine wamejipata
View attachment 2788266
Yeah ndo hivyo kijana asiwe na preshaTrue, mimi ya binti hapa mpk kufikia leo sa6 mchn tulijua Btch2 hayumo mana msg ilikuwa ni ileile "..verIfied complete..wait for allocation process"
Ila by sa7 mchn leo..SIPA ikasoma
Mimi Nina mdogo wangu ni continuous bado hajapataKuna continuous yoyote aliyepata either batch 1 au 2
Aseme ilitujue tunaishije mwaka mwingine
kesho yako ni Mungu pekee anaijua, hivo usiache kuwa na imaniHivi jmn "Your application is being processed. Wait for final results"
Ntapewa kweli mie nikope kodi nitalipa nikipewa mkopo
Yani sina pa kukaa nawaza hapakesho yako ni Mungu pekee anaijua, hivo usiache kuwa na imani
Utapewa mkuu uhakika kwahyo statementHivi jmn "Your application is being processed. Wait for final results"
Ntapewa kweli mie nikope kodi nitalipa nikipewa mkopo
Nina huzuni sanaUtapewa mkuu uhakika kwahyo statement
ulipata chuo ganikesho yako ni Mungu pekee anaijua, hivo usiache kuwa na imani
Wewe ni Kontinyuaz ?
mda wowote kuanzia Sasa mzigo unaingiaUjumbe huu unamaanisha nini wakuu? Msaada wenu
Mmhmda wowote kuanzia Sasa mzigo unaingia
We jamaa [emoji16] mda gani wowote akat mpaka tarehe 3mda wowote kuanzia Sasa mzigo unaingia
Ili uone kama umepata au lah ukisha log in unaenda wapi? Mdogo wangu hajui chochoteWe jamaa [emoji16] mda gani wowote akat mpaka tarehe 3
Denial phase ishaisha saiv acceptance phase
Relax mpaka tareh 3Ili uone kama umepata au lah ukisha log in unaenda wapi? Mdogo wangu hajui chochote