Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,651
- 22,818
Miaka ya 1990 kurejea nyuma, wanaume tulikuzwa na familia zetu kuwaona wanawake kama viumbe wa kuwalinda na kuwajali sana.
Hii haikuwa Tanzania tu bali ulimwenguni. Ukitazama filamu,wanaume walikuwa wakisalimia wanawake wanawavulia kofia na kuinamisha kichwa kidogo na kuwaita majina ya heshima kama Mis fulani, madam fulani, au Ma'am.
Wanaume tulifunzwa kuwapa wanawake mauwa na zawadi kama ishara ya kusheherekea uwepo wao katika jamii.
Wanawake wa kipindi hicho,sauti zao zilikuwa ni za unyenyekevu sana na kauli zao zilikuwa ni za kujaza matumaini kama sio kufariji.
Hii hali haipo kwasasa. Wanaume wengi wanapokutana na wanawake kama sio kupata hisia za kuwabaka,kuwapiga au kutukana basi watasema jambo negative kwao?
Tumefikaje hapa? Na hili swali siwaulizi wanaume,nawauliza ninyi wanawake wa kisasa type ya akina Jadda ambao mnakwenda tofauti na haiba ya asili na kuwa madume jike kisha mkiulizwa kwann mnarudisha mpira kwetu wanaume kwamba tumewazingua,wapi hapo?
Jitihada za mwanaume siku zote ni kumfurahisha na kumpa amani mwanamke, jitihada ya mwanamke siku hizi ni kutengeneza mazingira ya kuharibu mahusiano kwa faida yake mwenyewe. Faraja yake ni kuona kaingia katika maisha ya mwanaume mwenye utulivu, kumsoma alichonacho na kukichukua na kumuacha amevurugikiwa.
Jambo hili limewafanya wanaume wa sasa kuwa na maumivu ya kufanana na kuona wanawake si rafiki bali adui anayejifanya rafiki na haukumkosea kwa lolote.
Tazama sasa hata huko mitandaoni mwanamke aandike tu ujumbe wa kusema Mwanaume anatakiwa kufanyia nini mwanamke utaona namna atatupiwa mawe na kupondwa kwasababu wanaume wamekwisha soma mchezo kuwa mwanamke huyu ni mlaghai na hapaswi kusikilizwa.
Nini kilitokea hadi wanawake ghafla m'mekuwa tatizo kwenye jamii iliyokuwa inawapenda,inawatunza,inawajali,inawalinda hadi leo mkibakwa wanaume badala ya kuhuzunika wanatoa kauli za kufarijika na majanga yanayowakuta?
Imagine miaka hii hata wezi wa kike nao wanapigwa hadi wanatoka manundu na damu wengine hata wanachomwa moto ati?
Hivi tukiendelea hivi watoto wetu wa kike huko mbeleni watalindwa kweli?
Kwanini ninyi wanawake wa sasa mnawasababishia madhara na kuwatengenezea sumu kizazi kijacho cga watoto wa kike na kujaza chuki watoto wa kiume wa sasa na wabadae sababu ya tamaa ba tabia zenu za hovyo.
Kwanini hamrekebiki?🤔