Heshima ya Mwafrika/Mtanzania

Heshima ya Mwafrika/Mtanzania

mmakonde

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2009
Posts
965
Reaction score
69
Nafikiri majority ya watu wetu wa Afrika hawapendi miili yao,au walivyoumbwa.

Chukua kwa mfano wanawake wetu hapa BONGO.Wangapi wanavaa wigi?Kwa nini kila mtu asilizike na nywele zake?Niko embarassed na Speaker wa Bunge kuvaa mawigi really!

Mbali na hilo it seems wanawake wetu also hawariziki na ngozi zao,kujichubua wawe na light skinned!Wanaomjua Balozi Maajar,je hiyo ni ngozi yake halali????????

Wanaume ndio usiseme.Kuvaa dread na heleni.
Je unaweza kumwamini doctor/lawyer wako kama amevaa rasta au heleni?No way.
Nafikiri tu stick na utamaduni wetu,kutoiga Blacks wa USA ,wao wanahistory tofauti na sisi kabisa.
 
Ulimbukeni tu, hata Kiingereza, kwanini tusikae na lugha yetu... Ulaya karibu kila taifa lina lugha yake, Kiingereza, Kireno, Kihispaniola na Kifaransa zimepata wateja Afrika na Amerika ya Kusini na Asia, katu si Ulaya. Aaaaaaaaaaagh,.....
 
Unapofuta somo la Historia kwenye shule unategemea nini? Au unapokuwa na rais mwizi na kuwa kuwadi wa nchi za nje unategemea nini? Rais asiyekaa nchini mwake na kuwakumbatia wageni unategemea nini? Rais anayebeza Utanzania wake unategemea nini? Kama unabisha mchunguze kwa ukaribu nasikia baada ya kutoka Loliondo na kupona ule ugonjwa wake sugu ndio kabisa haambiliki.
 
Kujichubua ni inferiority complex, na wengi wao huwa hawajui madhara yake na wakiyajua inakuwa too late, kurudisha ngozi kama zamani inakuwa ngumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom