Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

Oooh yeah!!
Ila mafurushi hawahusiki hapa.

Hawa viumbe(wanaojitambua) wana nafasi kubwa sana kwenye maisha yetu, Mungu awatunze tu kwaajili yetu. They go through alot na tumewaminisha kuwa lazima wapambane no matter what(ofcoz ni lazima jamani[emoji12]) hivyo masahibu yao wanakufa nayo "kiume".

Ila endeleeni tu kupambana jamani maana hamna namna, tupo kuwafariji.
Haha,
Hell yeah', mafurushi here ain't they're position,
Ndiyo wapambane huku wakijua kabisa tunauthamini na kuuheshimu sana mchango wao maishani mwetu.!!
 
Asante sn kwa appreciation.Kama mwanaume Mimi ni siku 2 sasa nakula ndizi 2 tuu kwa siku nashinda na nalala.Hii ni kwa sababu nilitakiwa tuma fedha home ili kuokoa mama na wanafamilia.Na mfukoni nilibakiwa na kidogo,ndo hichohicho nikatuma.Japo nakula ndizi 2 but ni fresh tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio uanaume.
Mungu atakupa fedha nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana binti mzuri kwa kutambua umuhimu wetu kwenye majukumu ya maisha katika ustawi wa familia.


Wakati fulani niliwahi kumlaumu mzee wangu kwa aina ya maisha alio nayo sasa baada ya kumalia malezi ya watoto wote.

Leo hii nami niko na familia, mapitio ninayopita najutia kumlaumu baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu
Yote yatapita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ulieandika uzi huu yan umeuleta wakata muafaka kwangu maana nayo pambana nayo sasa hv mungu ndo anajua.yan umekuja kunipa comfort kubwa sana kias kwamba kuna line za mwisho nimesoma mpaka nikasisimka,ngoja niendelee kupambana aise
 
Asante sn kwa appreciation.Kama mwanaume Mimi ni siku 2 sasa nakula ndizi 2 tuu kwa siku nashinda na nalala.Hii ni kwa sababu nilitakiwa tuma fedha home ili kuokoa mama na wanafamilia.Na mfukoni nilibakiwa na kidogo,ndo hichohicho nikatuma.Japo nakula ndizi 2 but ni fresh tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah...!!
Mungu akupiganie kiume, utapita hapo salama I do promise..!
Baraka zenye ujazo daima zikawe nawe..!!
 
Ahsante sana Carleen na wanawake wote wenye mawazo kama hayo, Mungu awabariki nyie na uzao wenu mpaka mshangae.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Woow'..!
Nimependa hapo 'mbarikiwe mpaka mshangae'!!
Amina mingi mingi mpendwa, Nimezipokea baraka, tubarikiwe sote pia.!
 
Una akili sana wewe mwanamke!! Hata uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa!!
Nikukumbushe namba yako naweza nikarusha kitu kidogo!! Napenda mwanamke mwenye mtazamo chanya!! Kwa maelezo hayo tu inaonekana hata kuchepuka huchepukagi tofauti na akina nanii wale wenye sendo za manyoya...😀
Haha,
I'm so humbled mkuu.!!
 
Back
Top Bottom