Heshima kwa Mwenye Tangazo....

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Shikamoo Mwenye tangazo.JPG

Kwa kweli this msg made my day
 
mmmmhh ni kauli mbiu ya CCM hii, miaka hamsini hadi leo wanasema hayo hayo tu
 
hahaha, ''FAST'' ''no matter how long it takes'',
 
hiyo fast service unaweza isubiri hata miaka hamsini....watakuwa wanakwambia tu kwamba no matter how long it takes we are still fast, keep on waiting!
 
Back
Top Bottom