TANGAZO, TANGAZO KWA MEMBERS WOTE WA JAMII FORUM

Ntu Mpyaaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2024
Posts
986
Reaction score
1,823
Bila shaka tangazo lipo mahala pake, hili ni tangazo kwa members wote wa JF,

Bila kubagua mtu hata nyie wapiga nyeto akina Mbaga Jr uko m.m.u munatangaziwa kuwa tokeni huko kwenye majukwaa yenu pendwa,

Na tukutane pale jukwaa la siasa kwa ajili ya kupokea ripoti ya sheikh chande,

Jamani siasa inagusa maisha ya kila mtu, kwa hiyo acha kujifanya hauhusiki kwenye jambo linalokuhusu.
 
Siasa zinagusa maisha ya kila mwananchi, kama hutaki watu wajadili siasa maana yake hutaki watu wajue mustakabali wa taifa lao, hutaki watu wapige kura, hutaki watu wajue maendeleo ya nchi yao.

Wewe ni mfu unayetembea.
Peleka ujinga wako mbele huko
 
Peleka ujinga wako mbele huko
Ukizidiwa hoja kama maccm wengine lazima povu limwagike.

Unajitambua kweli wewe, unakataza watu wasijadili siasa, unataka wajadili nini? Huko Tanga kwenu mnajadili tunguli unataka wote tujadili huo ujinga?
 
Bila shaka tangazo lipo mahala pake, hili ni tangazo kwa members wote wa JF,

Bila kubagua mtu hata nyie wapiga nyeto akina Mbaga Jr uko m.m.u munatangaziwa kuwa tokeni huko kwenye majukwaa yenu pendwa,

Na tukutane pale jukwaa la siasa kwa ajili ya kupokea ripoti ya sheikh chande,

Jamani siasa inagusa maisha ya kila mtu, kwa hiyo acha kujifanya hauhusiki kwenye jambo linalokuhusu.
adriz Malaria 2 kumbe report ya MUISLAMU KULESHI SHEIKH CHANDE IMESHATOKA AMTUJUZI
 
Ukizidiwa hoja kama maccm wengine lazima povu limwagike.

Unajitambua kweli wewe, unakataza watu wasijadili siasa, unataka wajadili nini? Huko Tanga kwenu mnajadili tunguli unataka wote tujadili huo ujinga?
Kwa hiyo mtu akiwa kinyume cha chama chako , unamuona mjing basi hata sisi tunakuona mjinga
 
Unakataza vipi wayu kufuatilia mambo yanayogusa maisha yao? Hukwo ni kunyima watu haki yao ya msingi, kama unajitambua usirudie kuandika ujinga namna hii!!
 
Nikajua kumpokea mshangazi mpya humu..
Kumbe ishu za siasa..
Skia skuizi hatufatilii siasa ziaidi zaidi utupe story za njia gani za kufanya uweze ku control bao la kwanza..
Jinsi ya kuunganisha mabao
 
Unakataza vipi wayu kufuatilia mambo yanayogusa maisha yao? Hukwo ni kunyima watu haki yao ya msingi, kama unajitambua usirudie kuandika ujinga namna hii!!
Nan kaanzisha vurugu so ulitaka ? Yaani familia zetu zipate tabu kisa wajinga kama nyie..Tunaipongeza serikali
 
Back
Top Bottom