Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

Mmeanza mahesabu yn ya wizi eeeh, kura za lema hazitaibiwa km mnatakusikia harufu ya damu mtiririko kura za lema ziibiwe muone.

Lema atashindwa kihalali kabisa bila kuibiwa hata kura sifuri. Kama mnategemea kufanya vurugu kwa kisingizio cha ubunge wa lema jiandaeni ila mkae mkijua hamtaweza kuvuruga amani ya nchi.
 
Lema atashindwa kihalali kabisa bila kuibiwa hata kura sifuri. Kama mnategemea kufanya vurugu kwa kisingizio cha ubunge wa lema jiandaeni ila mkae mkijua hamtaweza kuvuruga amani ya nchi.

Wafanyakazi waake wenyewe hawatampa kura huyo mvamizi wa maeneo ya umma
 
Jidanganye tu Arusha tunajielewa !!
Yani tulishaapa hata tuweke Jiwe Vs Ccm tutachagua Jiwe na litashinda!!

Hahaha hapa Kura hamuibi hata 1!!

Semea nafsi yako! Mliapaapa kuwa mkutano wa Magufuli haungepata watu Arusha, alivofunika mkasingia eti ametumia wafanyakazi wa A to Z. Hatimaye kura zikawaumbua. Tunahitaji nusu ya wafuasi wa lowasa kumtangaza monaban mshindi. Na hili linawezekana.
 
JFK wabongo "Monaban Atosha Arusha"
Hiyo statement inakuondoa kwenye mantiki ya bandiko na imekupeleka kule akili yako inaposinzia.
 
Last edited by a moderator:
Kama anachoeleza mtoa mada ni sahihi basi nilitegemea walau CCM wangepata walau viti 12 au 13 kati ya 25 vya udiwani vilivyoshindaniwa Arusha mjini. Badala yake CCM wameambulia kiti kimoja tu. kwa hali ya kawaida huitaji kuwa mchambuzi mahili wa siasa kujua Lema atashinda.
 
Segerea mbuge wa ccm 'kata zote ukawa
 
JFK wabongo "Monaban Atosha Arusha"
Hiyo statement inakuondoa kwenye mantiki ya bandiko na imekupeleka kule akili yako inaposinzia.

Ukweli siku zote unaegemea upande flani.. By Dk Slaa.
 
Last edited by a moderator:
Arusha hata wakitwanga mabomu live lema atachomoka mshindi. Muulizeni mulongo magesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom