Semea nafsi yako! Mliapaapa kuwa mkutano wa Magufuli haungepata watu Arusha, alivofunika mkasingia eti ametumia wafanyakazi wa A to Z. Hatimaye kura zikawaumbua. Tunahitaji nusu ya wafuasi wa lowasa kumtangaza monaban mshindi. Na hili linawezekana.
Nyie maccm mnapenda namba hesabu hamjui.
For ur information, hesabu za chadema kuwa mshindi zilianzia kwenye bvr.
Arusha watu walioandikishwa walikuwa 338,000. Wakati Lowassa anatafuta wadhamini ndani ya chama, wadhamini waliojiandikisha na bvr na ambao ni wanachama wa chadema 269,700 walimdhamini. Hao ni wa jimbo la Arusha mjini tu.
Kwa maana hiyo wapiga kura wa ccm hawazidi 70,000
Hahaha umenichekesha sanaMiCCm mtambueni Ar.sio Mtwara. Mnaweza sababisha kitu ambacho hamtaamini macho yenu na kikasambaa nchi nzima.Msijaribu kuiba. Acheni kabisa. Mtawasha kiberiti.
Hana hata aibu bado anamtumia mrh Mawazo kupata sympathy kitu ambacho ni ujinga sana. Kama ipo ipo tu asijifanye hamnazo.Ndio maana lema anatafuta kick ya vurugu lakini polisi wameshamstukia
kweli mkuu lema alihamasisha vizuri kwenye bvr sehem zenye wachagga maana kati yao 338000
asilimia 70 ni wachaga kwa hiyo ushindi ni lazima kwa mahesabu hayo
Numbers never lie.
Kwa anayefuatilia siasa za Arusha Mjini, atagundua kuwa Mollel ana mtaji wa kura zisizopungua 65,000 (kura alizopata Magufuli jimboni humo. Hizo kura ni za CCM ije mvua au jua.
Licha ya kuwa Lowassa alipata kura zaidi ya 150,000. Nusu ya wapiga kura hao ni washirika wa Mollel (najua unajua ninachokimaanisha).
Mpaka hapo Lema ahesabu maumivu, nyomi anayoiona ni maembe ya kupandikizwa, nje jekundu ndani kijani.
Monaban Atosha Arusha.
Kwani kura zinapigwa na madiwani?