Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

haya,kwa logic yako....MAARIFA YA JAMII na CIVICS zitambeba lemma,,teh teh teh

Bora umecheka mwenyewe..! Kama ingekuwa inatumika CIVICS, ambapo watu wangepiga kura kwa Merits, lema asingepata hata nafasi ya kugombea. Bahati mbaya hata Maarifa ya Jamii anayitegea ya kupigiwa kura na vijana inakosa nguvu kwani hata Mollel anao Moran pia.
 
Vipi jaffar Michael ni mchaga?
Nyie lazima tuwaseme mpate kujirekebisha. Makabila mengine wanaoa binti zenu na hawawabagui ila nyinyi hamtaki vijana wenu waoe kabila nyingine.
Kama siyo mchaga basi ni mpare tena huenda kaoa mchaga! Wote ni wale wale tu. Utamlinganisha na mwenye mke kutoka singida?
 
Utasubiri sana lowasa ampigie chapuo huyo monaban,lowasa au mwingine

Pia lowasa hawezi mpigia Kampeni lema.. Maana lema alikuwa hataki lowasa na monaban wawekeze NMC.Akamhujumu lowasa asiwekeze pia general tyre. Mpaka Kampeni zitaisha bila lowasa kusimama jukwaani na lema
 
Una uelewa wa statistics? Kama ndiyo, ukirudia kusoma bandiko lako utajicheka mwenyewe.

Ndio maana nikaandika na kutoa comment yangu. Vinginevyo huwa si ingii JF kujaza posts. Statistics unazoziongelea wewe ni zipi ambazo unani uliza kama nazijua?
 
Hizi ni mada za kitoto wanaoishi na wanao ifahamu Arusha wanajua kwamba huyo Muarusha atashindwa vibaya. Haya mengine ni kujifurahisha!
 
Ndio maana nikaandika na kutoa comment yangu. Vinginevyo huwa si ingii JF kujaza posts. Statistics unazoziongelea wewe ni zipi ambazo unani uliza kama nazijua?
Nilimaanisha statistics kama taaluma siyo 'data' kama ulivyojieleza hapo.
 
MiCCm mtambueni Ar.sio Mtwara. Mnaweza sababisha kitu ambacho hamtaamini macho yenu na kikasambaa nchi nzima.Msijaribu kuiba. Acheni kabisa. Mtawasha kiberiti.

Hamna lolote mikwara tu,vp 200m mbona mlikaa 500m kwa hofu,kama ni kishindwa arusha mtashindwa na hamtafanya lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom