Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

Toka niijue Arusha najua chadema ndo Arusha sijui chama kingine watapitia wapi hawo magamba
 
Matokeo ya uchaguzi huu wa Arusha ndio uchaguzi utakao fanya tathimini ya ule uchaguzi mkuu wa kati ya Lowassa na Magufuli. Uchaguzi huu utakuwa huru na haki.

Akishinda Monabani basi tutakubaliana na ushindi aliopata Magufuli, Na akienda kushinda Lema basi kile walichosema na kudai wakina Lowassa walishinda uchaguzi kwa 62% itakuwa ni ukweli.

Huu ni uchaguzi wenye nguvu na wenye kuleta hisia zaidi. Nina uhakika hakutakuwa na uonevo ili tupate picha halisi kati ya CCM na UKAWA ni yupi ni chaguo la Watanzania.
 
Baada ya Uchaguzi urudi hapa we mleta Uzi, uthibitishe andiko lako!! Siyo ukimbie na kuutelekeza Uzi wako Kama wengine wanavyofanya!!!....
 
Kamuulize mtoto wa sokoine alitupwa au hakutupwa monduli?

Monduli nitofauti na Arusha mjini. Lowasa ndo alimweka Monaban, baada ya kukatwa hajasikika akidai kumshauri ahame pia, ilhali alifanya hivyo kwa Namelock. Lowasa ana maslahi na jiji, kumweka lema atakuwa anapoteza nguvu yake.
 
Baada ya Uchaguzi urudi hapa we mleta Uzi, uthibitishe andiko lako!! Siyo ukimbie na kuutelekeza Uzi wako Kama wengine wanavyofanya!!!....

Hili bandiko litaongezwa updates. Hata kama matokeo yatakuwa tofauti litafaa kwa reference za wanafunzi wa political sciences.
 
Hatuwezi kuwapa UPINZANI Jimbo letu. i.e (Arusha Chama Tawala ni CHADEMA)
 
Matokeo ya uchaguzi huu wa Arusha ndio uchaguzi utakao fanya tathimini ya ule uchaguzi mkuu wa kati ya Lowassa na Magufuli. Uchaguzi huu utakuwa huru na haki.

Akishinda Monabani basi tutakubaliana na ushindi aliopata Magufuli, Na akienda kushinda Lema basi kile walichosema na kudai wakina Lowassa walishinda uchaguzi kwa 62% itakuwa ni ukweli.

Huu ni uchaguzi wenye nguvu na wenye kuleta hisia zaidi. Nina uhakika hakutakuwa na uonevo ili tupate picha halisi kati ya CCM na UKAWA ni yupi ni chaguo la Watanzania.
Una uelewa wa statistics? Kama ndiyo, ukirudia kusoma bandiko lako utajicheka mwenyewe.
 
Ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom