Tuache kuchagua kishabiki, tunahitaji Mbunge wa kufanya kazi na Magufuli, siyo Mbunge wa kutuongoza kufanya maandamano.Ahahahahhaah chuga yetu sis ama dar chugaaaa? Hapa mpaka mwisho wa tz ni chadema moja
Ndio maana lema anatafuta kick ya vurugu lakini polisi wameshamstukia
Mimi ni mpiga kura yaani lema anapita kwa kishindi na hii ni kuwazirishia arusha akuna wapuuzi na mipango yenu nyinyi magamba arusha kitanuka yaani ss zaidi hata hilo jeshi la polisi.. Na usiongeleee ushabiki mm ni mpiga kura yaani hapa arusha watu arobain ccm ni wawili tu.
Ule ulikuwa upepo, sasa tujiulize kama bado tunahitaji kuchagua upepo au la!Muulizeni Davis Mosha au Namelock Sokoine vile tunawafanya pande hizi.
Ni rahisi kwa twiga kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CCM kushinda kiti cha ubunge arusha mjini.
Watu wa Arusha ni wacha MUNGU, nguvu za kishirikana wanazotumia CCM hazitafanikiwa kamwe!
Pia usitegemee LEMA "kushindwa" Arusha, halafu jiji likabaki salama!
Muulizeni Davis Mosha au Namelock Sokoine vile tunawafanya pande hizi.
Ni rahisi kwa twiga kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CCM kushinda kiti cha ubunge arusha mjini.
Monaban na ccm yake wakifikisha kura 1000 ataeleza amezipata wapi
Tutamshinda Monobang kwa zaidi ya kura laki na sabini ili kuweka rekodi mpya
Monaban na ccm yake wakifikisha kura 1000 ataeleza amezipata wapi
Tutamshinda Monobang kwa zaidi ya kura laki na sabini ili kuweka rekodi mpya
kamanda nanyaro nawatakia maandalizi mema ya uchaguzi nitakuja Arusha kumpigia kura Lema
Acha kujidanganya, usidhani mnaweza kumpitisha mtu wenu kama mlivyompitisha MAGUFULI hapa ARUSHA,Soma huo msatari wa mwisho,halafu jiulize huyo 'mungu' gani umemtaja mstari wa kwanza.
Hapa chuga hatuchezagi sisi hatutaki kuona kijani hapa hata tukiwekewa kijani na jiwe tutapigia jiwe
Nami nakuuliza, kwanini unatamani iwe Hai au Moshi isiwe Arusha?!Nilikuwa siamini maneno kuwa fujo za Arusha mjini ni imported, hii kauli yako inanidhirishia. Watu wamekuwa wakijiuliza iweje maandamano Arusha na siyo Hai au moshi?
Acha kujidanganya, usidhani mnaweza kumpitisha mtu wenu kama mlivyompitisha MAGUFULI hapa ARUSHA,