Ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya wazazi....
Hao 70,000 ni ndo Mimi nimewataja awali kama kura za Magufuli (65,000). Waliosalia ambao ni wale waliomdhamini lowasa wakati wa Safari ya Matumaini. Na baadhi yao walimdhamini pia Safari ya Uhakika. Kwa vile lowasa ameshaanza safari ya Monduli isiyohitaji wadhamini, Mollel atarudisha wale alimtafutia lowasa wakati wa safari ya matumaini. Kama hiyo ikitokea, Lema kifo cha mende.Nyie maccm mnapenda namba hesabu hamjui.
For ur information, hesabu za chadema kuwa mshindi zilianzia kwenye bvr.
Arusha watu walioandikishwa walikuwa 338,000. Wakati Lowassa anatafuta wadhamini ndani ya chama, wadhamini waliojiandikisha na bvr na ambao ni wanachama wa chadema 269,700 walimdhamini. Hao ni wa jimbo la Arusha mjini tu.
Kwa maana hiyo wapiga kura wa ccm hawazidi 70,000
kwa arusha ccm mnapoteza muda. mbaya zaidi mumeiba kura za lowasaa...
Ndio maana lema anatafuta kick ya vurugu lakini polisi wameshamstukia
Eti ni kweli mlipiga Kampeni kuwa Mosha wa Moshi mjini hakuoa mchaga hivyo hastahili kuchaguliwa? Kama ni kweli kuwa hiyo ndiyo formula ya uchagani, ni wepi wakabila?Ukabila ndiyo sera zenu maccm... endeleeni kuhubiri matabaka ipo siku
Kwa hiyo Arusha vurugu inaanzishwaga na Lema?
Nami Niko Arusha, miaka mitano ya dhiki chini ya Lema..! Hakika hatuwezi rudia Makosa.wewe Arusha ni jiji la wasomi wenye akili wanajua mabadiliko ni maendeleo na majaribio ni sayansi pia ni welevu sana wanajua safi na chafu, hawawezi tena rudi nyuma sisiem kushinda arusha ni sawa na jk kurudia Urais
Uchaguzi ni karata wengine wamechoma vichinjio vyao baada Lowassa kuukosa urais na wengine hawakupiga kura sasa watajitokeza je namba ni ileile?
Kuna wengi hawakupiga kura wakiamua kujitokeza na kuipigia CCM itakuwaje!?
Wakati unaandika huu uzi nahsi ulkua unajcheka mwenyewe.
Watu wa Arusha ni wacha MUNGU, nguvu za kishirikana wanazotumia CCM hazitafanikiwa kamwe!
Pia usitegemee LEMA "kushindwa" Arusha, halafu jiji likabaki salama!
Unaongelea hesabu au hisabati?
Kwa mtu makini wa Arusha mjini hilo analitambua fika. Jimbo la Arusha mjini lina changamoto nyingi ambao zinaizidi uwezo akili ya lema. Ili kuficha aibu yake anamua kuwa notorious. Mbona kwa Nassari hakuna vurugu ilhali watu ni wale wale?
Eti ni kweli mlipiga Kampeni kuwa Mosha wa Moshi mjini hakuoa mchaga hivyo hastahili kuchaguliwa? Kama ni kweli kuwa hiyo ndiyo formula ya uchagani, ni wepi wakabila?
Anatafuta mbeleko ya lowasa, kamwe lowasa hawezi mtupa Monaban.
Vipi jaffar Michael ni mchaga?Eti ni kweli mlipiga Kampeni kuwa Mosha wa Moshi mjini hakuoa mchaga hivyo hastahili kuchaguliwa? Kama ni kweli kuwa hiyo ndiyo formula ya uchagani, ni wepi wakabila?
Lowasa ameachana na bashe monabani ndio nani,muulize namelok
Utasubiri sana lowasa ampigie chapuo huyo monaban,lowasa au mwingineBashe mwajiriwa, Monaban ni business partner. Akiwa Monduli alidai Namelock alikaidi ushauri, akiwa Arusha mjini, hakuongea lolote dhidi ya Monaban. Wenye akili tukajua, zimwi likujualo.