Haemoglobin
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 295
- 41
Hivi bado posho ni ileile?? just thinking loud wakuu.
Mnajidanganya,labda mfanye Jecha formula au mlivomfanyia lowasa.kata zote chadema sasa unategemea nn hapo?mtaona.
Lema kachokwa kwa vurugu subiri uchaguzi utaniambiaKweli unapenda namba ila hesabu hujui!! Magufuli unasema alipata kura ngapi arusha? Je ccm ilipata madiwani wangapi? Weka pembeni,haya mgombea wa chadema alipata kura ngapi? Madiwani wangapi? Sawa!! Sasa usiumize kichwa,wapiga kura ni walewale, na hesabu ni zilezile,waliochagua madiwani ndiyo watakaochagua mbunge,upo hapo? Na mbaya zaidi ni kuwa kuna watu kadhaa ambao walimpigia kura magufuli ila hawaipendi ccm kabisa,kwa hiyo kura zao hamtazipata this time kwa sababu magufuli hagombei ubunge arusha, Dont ever bet a coin for this,itakula kwako
Endeleeni kuimba njonjera Mbunge ni Lema Madiwani 24 wote ni chadema wakati kata moja tu ndio ya ccm.
Nipo dar ila nitakuja kupiga kura arusha
nimekuelewa
Pole,naona una comment huku unatetemeka mkuu,sikia mkuu,suala si nani anagombea,ila anagombea kwa chama gani!! Hivi munaijua arusha kweli nyie? Acha Lema,hata akisimama mnywa gongo flani,bora awe chadema basi ubunge anapata bila tabu,ni kama mgombea wa ccm chamwino,ana uhakika wa kushinda bila kampeniLema kachokwa kwa vurugu subiri uchaguzi utaniambia
Alimtupa mtoto wake kule Monduli sembuse huyo...
Mbona unaamini maneno ya mtaani? Kwa kuangalia idadi ya wabunge wa CCM, utagundua kuwa ushindi wa Pombe ni halali kabisa.
Madiwani wa cdm Arusha walisafiria nyota ya lowasa, ambayo sasa imeshazima tayari.
sina kadi ya kupga kura arusha ila nitahakikisha napata nafasi ya usimamizi wa kituo ili nipige kura
maboksi yale kura fake bado yapo????
Yalikuwa ya lowasa
Kumbe kuna kipindi kura za watu wa kaskazini zinakuwa tamu sana
Vurugu za Arusha zilikuwa zinasababishwa na mkuu wa mkoa ambaye sasa hivi amehama wala sio Lema