Hesabu za maandamano, na hamasa ya waandamanaji

Swali la kijinga halijibiwi we hiyo tarhe 7/7 watu wakiandamana uje hapa ufufue huu Uzi

Nchi ambayo watu wake 90 hawana uhakika Milo 3 unafikiri wakiandamana hata ukawaruhusu unadhani wanaweza wakaandamana siku ngapi

Tumia akili
Jibu swali we zezeta wa CCM.

Duniani hakuna nchi zilizodondoshwa kwa maandamano?

Yale maandamano ya oct29 waliandamana dada zako na ukoo wako?

Nyie CCM jiandaeni kuondoka madarakani muwe mnataka au hamtaki iwe kwa amani au maandamano.
 
We unachoweza ni kuandika matusi ila hauna upeo wa kujadili mada yoyote na MTU kama Mimi
 
Siku hiyo natoka na Magazini 5 kummq acha waje hatutaki mama zenu waje kulia mitandaoni
 
We unachoweza ni kuandika matusi ila hauna upeo wa kujadili mada yoyote na MTU kama Mimi
Wewe zezeta kama unashindwa kujibu swali rahisi nililokuuliza unapata wapi nguvu ya kusema siwezi kujadili mada yoyote na wewe.

Jibu swali acha longolongo Dr Manyaunyau wa mchongo.

Nje ya mada.

Bado unaendelea kuuza makontena?
 
Soma hata majibu ya AI kwanza

1. Sababu ya muda na kipato
Mtu anayeishi kwa “hand to mouth” anapopoteza siku moja ya kufanya kazi, anapoteza pia chakula cha siku hiyo. Kuandamana mara nyingi kunamaanisha kutopata kipato kwa siku hiyo, na kwa wengi hiyo ni hatari sana.

2. Sababu ya usalama na kazi
Watu wengi wana hofu ya kupoteza kazi au kupata matatizo na mamlaka kama watashiriki. Kwa yule anayefanya kazi ya kawaida bila mkataba imara, hatari hiyo ni kubwa zaidi.

3. Kipaumbele cha mahitaji ya msingi
Wakati mtu anajitahidi kuhakikisha ana chakula, malazi, nauli leo, vitu kama siasa na maandamano huwekwa pembeni. Sio kwamba hana maoni, ni kwamba hawezi kuhatarisha riziki yake ya sasa.

Kwa hiyo jibu fupi ni: Anaweza ki-teknolojia, lakini ki-practical ni ngumu sana. Ndio maana unaona maandamano mengi yanashirikishwa zaidi na wanafunzi, wafanyakazi wenye mshahara wa kila mwezi, na watu ambao wana “safety net” fulani.
 
77 ni moto 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
 
100% ya watu wanaosema maandamano

Wao ni keyboard fighter hauwezi kuwakuta FRONT hata siku Moja

Ni kupoteza muda kuongelea huu ujinga wa sijui December 9 sijui 7/7 ni ujinga wanaoumia ni watu wasio na hatia uku hao akina MANGE na watoto wao maisha yao yakiendelea .
Kwanini wanaoumia ni watu wasio na hatia? Kama hawana hatia kwanini waumie?
 
Chizi anachekesha kama hatokei kwenu.

Salaam jamiiforum, hope ni wazima na hata wale wagonjwa pole mtapata nafuu.

Kwanza niseme tu Mimi si muumini wa kupost habari za siasa,ila ni mfuatiliaji mzuri wa habari za siasa na nipo karibu mno.

Kunako social networks na sources kibao naona kunatangazwa Kwamba siku ambayo huwa ni sherehe, tukiadhimisha sikukuu muhimu hii Kwa wakulima, eti kutakuwa na maandamano, yaani hii siku ambayo tumezoea ni siku ya maonesho ya vitu mbalimbali, basi kuna kikundi cha watu wachache wanataka kutumia siku hii kuumiza watanzania.

Kwanza nijiweke wazi, Mimi ni mwanachama hai wa chama cha mapinduzi (CCM).
Sikulazimishwa na yeyote kuchagua chama hiki tangu miaka 30 iliyopita, na ni haki yangu kikatiba kuwa na chama nachokipenda kwasababu zangu binafsi.

Si kwamba chama changu hakifanyi makosa ama hakuna mapungufu, lah kuna mapungufu mengi mno,kuanzia kwenye muhimili wa Bunge na mihimili mingine.

Nalimiss Bunge la Spika Samweli Sita.

Nalimiss Bunge la Spika Anne Makinda.

Namiss heka heka za wabunge hawa

Tundu Lissu,
Godbless Lema,
Zitto Kabwe,
Halima Mdee,
Ester Bulaya

Bila kumsahau kubwa la maadui

Freeman Aikael Mbowe.

Wako wengi siwezi kuwamaliza wote,lakini angalau kulikuwa na chachu huku lengo likiwa kupush na kuendeleza gurudumu la taifa Kwa maana nzima ya kuleta maendeleo ndiyo maana Hadi Leo hii naweza sema Rais kikwete ni pekee na ana upekee wake.

Yote kwa yote, kizazi kimebadilika,uelewa wa mambo ni mpana,taarifa zinawafikia wananchi mapema na kirahisi.
Mtu hasubiri tena taarifa ya habari ya usiku ajue nini kinaendelea,ni yeye na vyanzo vyake tu.

Kiukweli nchi imefikia sehemu ambapo mambo mengi yapo na vibaya wananchi hawaridhishwi nayo,Mimi mwenyewe kuna mengi siyakubali,haki imeminywa Kwa namna fulani, nashindwa kuelewa ni nani haswa mwenye kudrive haya yote,

je ni mfumo ndiyo mbaya?

Ni wananchi hatuelewi tunataka nini?

Au mitandao inatupeleka haraka kuona yale yanayoendelea kwenye nchi za wenzetu tukiona na Sisi tunaweza kuyafanya?

Kwangu MAANDAMANO ni HARAMU.

Zipo njia nyingi za kufikisha malalamiko Kwa serikali si lazima maandamano,si lazima kuandamana.

Je, watanzania ni wepesi kusahau kiasi hiki?

Hata mwaka hatujafika tangu zitokee ghasia mbaya na zenye huzuni zilizoacha maumivu na machungu Kwenye mioyo ya watu.

Polisi na Askari wote ni binadamu na ni watanzania, mara nyingi wanafanya kazi Kwa Amri si Kwa matakwa yao,kila wanalofanya lipo kisheria kama itifaki inavyotaka.

Lakini kutoka pande zote za Tanzania Polisi wengi tu walikufa October 29 2025,Polisi waliharibiwa miradi na nyumba zao,

Huwa najiuliza kila siku Polisi Wana makosa gani?

Kwakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na Mali zao ni jukumu Lao na ikiwa kuna mwananchi ataleta ujeuri huwa kuna nguvu lazima itumike.na hili lipo wazi.

Kabla hujaandamana fikiria haya....

Ni yupi mtoto au ndugu wa mwanaharakati aliandamana Oct 29?.au aliripotiwa kupoteza Maisha

Yaani mtoto wa Lissu ama Heche,

Yaani familia ya Mbowe ni lini uliwahi kuiona Barabarani.

Maria Sarungi Tsehai,hayupo Nchini

Mange kimambi hayupo Nchini,

Edgar Mwakabela (Sativa)kijana mwenye laana maana matusi ambayo huwa anatukana sidhani kama ana akili ya kawaida.hakai hapa.

Onesmo Mushi hakai hapa.

Rachel Dangwa (mjaa laana)hayupo hapa.

Wapo wengi ambao wao hulipia gharama za internet na kuwapigia simu familia zao kuwaasa wasitoke huku wao wakiwasiliana Kwa njia za mitandao ,wakiwa sebuleni na vyumbani mwao,wakikuangalia wewe kupitia TV zao ukibeba sululu na tairi ukichoma vituo vya mafuta,ukichoma vituo vya Polisi huku wakitikisa vichwa Kwa lengo Lao huwa limekamilika.

Maandamano yapo Kwa mujibu wa katiba na ni haki ya mwananchi kuandamana ikiwa ni sehemu ya kufikisha kero.huku mkiwa na mabango yanayosomeka. Vizuri nini mnataka.

Yaani uvunje duka la simu la mtu si la serikali,Polisi akuangalie.

Uchome kituo cha Polisi wakuangalie,

Uchome gari la mtu watu wa usalama na vyombo husika vikupigie magoti,Kwa kukuogopa au.

Kwasasa Mimi mwenyewe nipo upande wa serikali,yeyote mwenye kuleta harufu ya uchochezi, lazima ashughulikiwe,maana ni MHAINI

Tuwe na subira mbona maisha yanaenda freshi tu yaani ukosee mwenyewe life style kisha uisingizie serikali.

Hesabu zenu ni mbovu , Idara ipo makini imejipanga vyema Kwanza hakuna mtu mwenye akili timamu atawaelewa,wajinga kama nyinyi ambao mnaiminishwa ujinga mnakubali,kazi yenu kulinda nyeti zisiibiwe, yaani unaamini ukiguswa bega nyeti zitapotea.

Halafu hapo hapo eti unataka mabadiliko,kupitia uvunjifu wa Amani acheni ujinga
Haya maelezo hapa chini yanapingana na mbwembwe ulizoziweka mwanzoni mwa uzi wako
Tuwe na subira mbona maisha yanaenda freshi tu yaani ukosee mwenyewe life style kisha uisingizie serikali.

Jitafakari.
 
Kwahiyo haujaelewa nini hapo tumia akili kufikiri
Swali ni jepesi mno boss. Watu hawana hatia, kwanini waumie? Kwa sababu wameandamana? Huko kuumia kwa wasio na hatia kunatokana na nini kama maandamano ni ya amani na kwa mujibu wa katiba? Haiwezekani hao wenye haki wakaandamana wakarudi makwao bila kuumia?
 
100% ya watu wanaosema maandamano

Wao ni keyboard fighter hauwezi kuwakuta FRONT hata siku Moja

Ni kupoteza muda kuongelea huu ujinga wa sijui December 9 sijui 7/7 ni ujinga wanaoumia ni watu wasio na hatia uku hao akina MANGE na watoto wao maisha yao yakiendelea .
Kama maandamano yapo kisheria, ni kipi kinawafanya muone ni kosa kuandamana. Subirini watu waandamane muwaambie walipo ndugu zetu mliowauwa, na wapi kura 31m zilitokea. Hamuwezi kuingia madarakani kwa kupora uchaguzi, kisha mtake watu wakae kimya. Siku hiyo watu wataandamana na hakuna chochote kitaharibiwa, lakini lazima tupate majibu ya matakwa yetu.

Mlikuja na utapeli wa kuanza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100, lakini mko kimya mnajifanya hakuna lolote limetokea, mnategemea tukae kimya kama mazombie.

Chizi anachekesha kama hatokei kwenu.

Salaam jamiiforum, hope ni wazima na hata wale wagonjwa pole mtapata nafuu.

Kwanza niseme tu Mimi si muumini wa kupost habari za siasa,ila ni mfuatiliaji mzuri wa habari za siasa na nipo karibu mno.

Kunako social networks na sources kibao naona kunatangazwa Kwamba siku ambayo huwa ni sherehe, tukiadhimisha sikukuu muhimu hii Kwa wakulima, eti kutakuwa na maandamano, yaani hii siku ambayo tumezoea ni siku ya maonesho ya vitu mbalimbali, basi kuna kikundi cha watu wachache wanataka kutumia siku hii kuumiza watanzania.

Kwanza nijiweke wazi, Mimi ni mwanachama hai wa chama cha mapinduzi (CCM).
Sikulazimishwa na yeyote kuchagua chama hiki tangu miaka 30 iliyopita, na ni haki yangu kikatiba kuwa na chama nachokipenda kwasababu zangu binafsi.

Si kwamba chama changu hakifanyi makosa ama hakuna mapungufu, lah kuna mapungufu mengi mno,kuanzia kwenye muhimili wa Bunge na mihimili mingine.

Nalimiss Bunge la Spika Samweli Sita.

Nalimiss Bunge la Spika Anne Makinda.

Namiss heka heka za wabunge hawa

Tundu Lissu,
Godbless Lema,
Zitto Kabwe,
Halima Mdee,
Ester Bulaya

Bila kumsahau kubwa la maadui

Freeman Aikael Mbowe.

Wako wengi siwezi kuwamaliza wote,lakini angalau kulikuwa na chachu huku lengo likiwa kupush na kuendeleza gurudumu la taifa Kwa maana nzima ya kuleta maendeleo ndiyo maana Hadi Leo hii naweza sema Rais kikwete ni pekee na ana upekee wake.

Yote kwa yote, kizazi kimebadilika,uelewa wa mambo ni mpana,taarifa zinawafikia wananchi mapema na kirahisi.
Mtu hasubiri tena taarifa ya habari ya usiku ajue nini kinaendelea,ni yeye na vyanzo vyake tu.

Kiukweli nchi imefikia sehemu ambapo mambo mengi yapo na vibaya wananchi hawaridhishwi nayo,Mimi mwenyewe kuna mengi siyakubali,haki imeminywa Kwa namna fulani, nashindwa kuelewa ni nani haswa mwenye kudrive haya yote,

je ni mfumo ndiyo mbaya?

Ni wananchi hatuelewi tunataka nini?

Au mitandao inatupeleka haraka kuona yale yanayoendelea kwenye nchi za wenzetu tukiona na Sisi tunaweza kuyafanya?

Kwangu MAANDAMANO ni HARAMU.

Zipo njia nyingi za kufikisha malalamiko Kwa serikali si lazima maandamano,si lazima kuandamana.

Je, watanzania ni wepesi kusahau kiasi hiki?

Hata mwaka hatujafika tangu zitokee ghasia mbaya na zenye huzuni zilizoacha maumivu na machungu Kwenye mioyo ya watu.

Polisi na Askari wote ni binadamu na ni watanzania, mara nyingi wanafanya kazi Kwa Amri si Kwa matakwa yao,kila wanalofanya lipo kisheria kama itifaki inavyotaka.

Lakini kutoka pande zote za Tanzania Polisi wengi tu walikufa October 29 2025,Polisi waliharibiwa miradi na nyumba zao,

Huwa najiuliza kila siku Polisi Wana makosa gani?

Kwakuwa kuhakikisha usalama wa Raia na Mali zao ni jukumu Lao na ikiwa kuna mwananchi ataleta ujeuri huwa kuna nguvu lazima itumike.na hili lipo wazi.

Kabla hujaandamana fikiria haya....

Ni yupi mtoto au ndugu wa mwanaharakati aliandamana Oct 29?.au aliripotiwa kupoteza Maisha

Yaani mtoto wa Lissu ama Heche,

Yaani familia ya Mbowe ni lini uliwahi kuiona Barabarani.

Maria Sarungi Tsehai,hayupo Nchini

Mange kimambi hayupo Nchini,

Edgar Mwakabela (Sativa)kijana mwenye laana maana matusi ambayo huwa anatukana sidhani kama ana akili ya kawaida.hakai hapa.

Onesmo Mushi hakai hapa.

Rachel Dangwa (mjaa laana)hayupo hapa.

Wapo wengi ambao wao hulipia gharama za internet na kuwapigia simu familia zao kuwaasa wasitoke huku wao wakiwasiliana Kwa njia za mitandao ,wakiwa sebuleni na vyumbani mwao,wakikuangalia wewe kupitia TV zao ukibeba sululu na tairi ukichoma vituo vya mafuta,ukichoma vituo vya Polisi huku wakitikisa vichwa Kwa lengo Lao huwa limekamilika.

Maandamano yapo Kwa mujibu wa katiba na ni haki ya mwananchi kuandamana ikiwa ni sehemu ya kufikisha kero.huku mkiwa na mabango yanayosomeka. Vizuri nini mnataka.

Yaani uvunje duka la simu la mtu si la serikali,Polisi akuangalie.

Uchome kituo cha Polisi wakuangalie,

Uchome gari la mtu watu wa usalama na vyombo husika vikupigie magoti,Kwa kukuogopa au.

Kwasasa Mimi mwenyewe nipo upande wa serikali,yeyote mwenye kuleta harufu ya uchochezi, lazima ashughulikiwe,maana ni MHAINI

Tuwe na subira mbona maisha yanaenda freshi tu yaani ukosee mwenyewe life style kisha uisingizie serikali.

Hesabu zenu ni mbovu , Idara ipo makini imejipanga vyema Kwanza hakuna mtu mwenye akili timamu atawaelewa,wajinga kama nyinyi ambao mnaiminishwa ujinga mnakubali,kazi yenu kulinda nyeti zisiibiwe, yaani unaamini ukiguswa bega nyeti zitapotea.

Halafu hapo hapo eti unataka mabadiliko,kupitia uvunjifu wa Amani acheni ujinga
 
Soma hata majibu ya AI kwanza

1. Sababu ya muda na kipato
Mtu anayeishi kwa “hand to mouth” anapopoteza siku moja ya kufanya kazi, anapoteza pia chakula cha siku hiyo. Kuandamana mara nyingi kunamaanisha kutopata kipato kwa siku hiyo, na kwa wengi hiyo ni hatari sana.

2. Sababu ya usalama na kazi
Watu wengi wana hofu ya kupoteza kazi au kupata matatizo na mamlaka kama watashiriki. Kwa yule anayefanya kazi ya kawaida bila mkataba imara, hatari hiyo ni kubwa zaidi.

3. Kipaumbele cha mahitaji ya msingi
Wakati mtu anajitahidi kuhakikisha ana chakula, malazi, nauli leo, vitu kama siasa na maandamano huwekwa pembeni. Sio kwamba hana maoni, ni kwamba hawezi kuhatarisha riziki yake ya sasa.

Kwa hiyo jibu fupi ni: Anaweza ki-teknolojia, lakini ki-practical ni ngumu sana. Ndio maana unaona maandamano mengi yanashirikishwa zaidi na wanafunzi, wafanyakazi wenye mshahara wa kila mwezi, na watu ambao wana “safety net” fulani.
Kwahiyo akili za kujadili na mimi ulizotambia unazo unazipata AI?

Nje ya AI ni mweupe kama kitambaa cha Sanda.

Ukweli ni kwamba watanzania wengi zaidi ya 50% wameichoka CCM na hawaitaki na wapo tayari kuandamana hata sasa hivi.

CCM wanalijua hilo vizuri ndio maana wamebaki kuwatumia polisi na wanajeshi na hata usalama wa taifa kuwaua kuwatisha na kuwateka wananchi wanaoonesha kuchoka na ulaghai wa CCM.

Hata yale maandamano ya Oct29 CCM wasingetumia bunduki kuua raia ilikuwa ndo ntolee hiyo.

Ndio maana walichanganyikiwa wakawa wanaua waliokuwemo na wasiokuwemo.

Narudia tena CCM hata watumie mabomu kuondoka madarakani ni jambo la muda tu iwe kwa amani au kwa maandamano.
 
Naona wajumbe wa nyumba kumi wanwatumaa watoto wao mitandaoni sasa.
 
Wewe umetumia haki ya kikatiba kuwa na chama.

Ila wenzio wanaotaka kutumia haki ya kikatiba kuandamana unawaona hawako sawa.
 
Ndiyo hivyo mwishowe ni vilio kila kona
Unaandika unajichanganya sana, kama ni haki ya wananchi kuandamana wewe ni nani uwazuie na kuwatishia kuwa watauwawa wakiandamana.
Kuweni wastaarabu kwa kufuata katiba ya wananchi.
Bila viongozi wetu kuandamana uhuru isingepatikana, then unajidai kusema kuwa kuna namna ya kufikisha malalamiko yao kwa serikali hii?

Viongozi wanasimama wakati wa kuwaapisha na kutoa seminar kwa was wasimamizi wa uchaguzi wanasema kuwa fanyeni tutakaowaambia huko hawana cha kutufanya...then majina ya wagombea zinatikiwa bila kupigiwa kura. Viongozi wa usalama wapo ukumbini wanapiga makofi kabisa huku taratibu za kupata viongozi zinavunjwa bila wao kuchukua hatua. Alafu unakuja humu kutishia watu, kama kuna watu wamechagua upande wanayoona kuwaua wananchi ndiyo jawabu waache wafanye hivyo ila unapowatetea inaonesha na wewe unashiriki kukandamiza haki za watu ili baadae uwamalize wakidiriki kuzidai.
 
Kwahiyo akili za kujadili na mimi ulizotambia unazo unazipata AI?

Nje ya AI ni mweupe kama kitambaa cha Sanda.

Ukweli ni kwamba watanzania wengi zaidi ya 50% wameichoka CCM na hawaitaki na wapo tayari kuandamana hata sasa hivi.

CCM wanalijua hilo vizuri ndio maana wamebaki kuwatumia polisi na wanajeshi na hata usalama wa taifa kuwaua kuwatisha na kuwateka wananchi wanaoonesha kuchoka na ulaghai wa CCM.

Hata yale maandamano ya Oct29 CCM wasingetumia bunduki kuua raia ilikuwa ndo ntolee hiyo.

Ndio maana walichanganyikiwa wakawa wanaua waliokuwemo na wasiokuwemo.

Narudia tena CCM hata watumie mabomu kuondoka madarakani ni jambo la muda tu iwe kwa amani au kwa maandamano.
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom